Unajivunia kuwa mtanzania au hujivunii kuwa mtanzania?

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Sabau za kujivunia kuwa mtanzania au kutokuwa mtanzania ni zipi?
Kisiasa /kidemokrasia Tuko wapi?
Kiuchumi?
michezo
matumizi ya rasilimali zetu
Kielimu
Je hivi vitakufanya ujivunie kuwa mtanzania au kuchukia kuwa mtanzania?
 
1.najivunia kuwa mtanzania najivunia nchi tanzania mungu kuiumba na kuwa na rasilimali nyingi.i love tanzania

2.nawachukia baadhi ya viongozi wa juu wa tanzania kwa kuiharibu tanzania,kwa kuifanya tanzania kuwa nchi yao wenyewe na sio ya watanzania wote;wameharibu democrasia kwa uchu wa madaraka;wameshiriki kwenye mikataba feki ili wale wenyewe na familia zao na si watanzania;wameingiza siasa hadi kwenye elimu hili tunafahamu;mungu waondoe hawa tunaipenda tanzania yetu.
 
Najishangaa kuwa mtanzania...... Na nina upenda na nina miss sana Utanganyika
 
Ilikuwa Tanzania ya Nyerere ndiyo niliyokuwa najivunia. Hii Tanzania ya uongozi wa leo ni aibu kujivunia. Hivyo hujui kuwa Tanzania ya leo inafananishwa na mwanamke anayebakwa! Badala ya kupiga yowe ili ajikomboe dhidi ya mbakaji yeye (mwanamke mbakwa) anamnong'oneza mbakaji atumie kondomu huku akimkatia kiuno taratiiiibu!. Nchi inabakwa, viongozi wanakata mauono kwa raha zao za 10%. Sasa nijivunie nini!
 
Back
Top Bottom