Unaishangaa TFF kwa viporo VPL? Chukua hii

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani.

Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki michuano hio.
 
CAF wamewaambia kwamba top 4 iliyoko sasa ibaki hivyohivyo ligi inasimama , cameroon ndok wanza wanaingia round 2 watatumia msimamo wa msimu uliopita
 
Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani.

Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki michuano hio
Mkuu ni kwamba hujui hiyo ilitokana na mataifa hayo kukumbwa na janga la corona?
 
Ahaaa,tehe,,tehe.Mo ni mkweli na kasema kweli.
kwanini Injinia adanganye kuwa Kisinda kanunuliwa wakati alikua kwa mkopo pale Utopolo!!.
Ni mkweli mno, kasema Miquissone alikuwa mbumbumbu fc kwa mkopo.
 
Naenda Moroco kuweka kambi wewe bado unazurula tu,ngao ya hisani naanza rasmi kukudhalilsha mwaka huu kwa vipigo.
Miquissone alikuwa mikia kwa mkopo, mbumbumbu hawapati hata mia ya uhamisho wake.
 
Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani.

Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki michuano hio
Mbona kichwa Cha habari na ulicho andika tofauti
 
Nigeria wamemaliza juzijuzi na morocco pia ila kuna watu walikuwa wakipiga kelele kuwa Tanzania ndio nchi pekee haijamaliza ligi
 
Miquissone alikuwa mikia kwa mkopo, mbumbumbu hawapati hata mia ya uhamisho wake.
Alitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka South kwa kocha Pitson Mosemane ambae kwa sasa yupo Al Ahly Simba ikamsajili.kama utaki achaa mimi nipo Moroco naongeza makali ya kikosi.
Vipi wewe ushapata mbadala wa Kisinda au ndo mnamleta Mesi?
 
Alienda Mbumbumbu kwa mkopo
 
Hawa ni wale wachambuzi maandazi ambao ndio wanasikilizwa sana.

Kuna jamaa moja linaitwa Angetile Hosea lilikuwa linalaumu kwa machungu sana TFF kuwa imefanya vile kuibeba Simba.
Ila wakati msiba wa Magu unatokea na ligi kusimama karibia mwezi mzima,hatukuwahi kuwasikia wakiomba TFF iachane na maombolezo yaliyoyangazwa na serikali wapange mechi.

Kifupi hawa watu ni wanafiki na kilichowasaidia wasiwe vigagula ni hiyo elimu kidogo waliyo nayo.Ila typically wana tabia za kishamba sana licha ya wengi kuajiriwa kwenye vyombo vikubwa kama clouds

Back
Top Bottom