Unaikumbuka hii???

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Kibanga ampiga mkoloni,siku ya gulio katelelo,chopeko na mnofu, ndoto za kimweri....mnasoma kitabu huku mkipokezana? Mi ilikuwa miaka ya 1993 vp wewe?
 
Song of lawino/okol,ngoswe penzi kitovu cha uzembe,a man of the people!! Dahh
 
I used to hate Things fall apart, kiinglish kilikuwa hakipandi, nilikuwa naona mwalimu ananipigia makelele tu, I was looking forward na somo la kiswahili, ngoswe penzi kitovu cha uzembe na hadithi za magazeti ya sani(enzi hizo yanatoka kwa mwezi mara moja kama sikosei).
 
sisi tulikua watukutu sana kwenye class yetu tulikua kwenye seminary moja ya wasabato inaitwa TASS basi jamaa wakawa wanakiita kitabu cha "NGOSWE MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE".... wakawa wanakiita "NGOSWE MAPENZI CHINI YA KITOVU".. na siku moja tcha akazama class jamaa si kwa utani utani wakalitaja jina lapili dah yani mambo yakawa ni balaaa tupu..!
 
matonya ala konokono,na ile nyimbo ya sugura...sizitakii mbichi hizi,jumaa na uledi,karudi baba mmoja kutoka safari ya mbali,kavimbaa yote miguu na kutetemeka mwili,watoto wake wakaja ili kumjulia hali....zawadi ya ushindi.
 
hivi ilikua ni kutetemeka mwili au ilikua ni mapaja..? manake nahisi pale ilikua ikifika yani ninakua ninahisi kua kama ninaongea kitu amabacho nisingependa mama akisikie coz alikua ni soo yani nilikua nachezea viboko karibia kilasiku yani..!
 
Back
Top Bottom