Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,527
- 14,403
Mmasai Abel Motika “ Mr Ebbo" alikiwasha Sana na Ngoma Kali zenye lafudhi na pigo za kimasai zilizokua na komedi pamoja na mafunzo ndani yake.
.
Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba?
.
1.Mi mmasai
2.Bado
3.Kamongo
4.Tabia Mbaya
5.Maneno mbofumbofu
6.Bodaboda
7.Uswazi
8.Njaa
9.Pombe
10.Ganja
.
Hii ni mistari ipo kwenye ngoma inaitwa Ganja
.
Moja jumulisha mojaa, utapata kumi na moja.
Ukitaka andika nanee,Sifuri inabeba nyingine.
Ukisema tusile ungaa,Ugali itasongwa na nini?
Hivi ndivyo anavyoimba, Yombene akikula ganja.
Saa nane muchana jamaa ana taa ya chemuli anayata kwenda chooni..Ganja bana 😄🙌