Unaijua Copilot akili bandia mpya kwa watumiaji wa windows

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐— ๐—ถ๐—ฐ๐—ฟ๐—ผ๐˜€๐—ผ๐—ณ๐˜ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—ผ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ผ๐˜

Tuko Kwenye ulimwenguni mpya wa kizazi Cha Akili bandia ambao umeleta mapinduzi mengi ya Teknolojia. Microsoft wametambulisha akili bandia yao ya Copilot kwa watumiaji wa window Os.

Copilot ni tool ambayo inakusaidia kuweza kutengeneza documents , kuisoma, kuipangilia email yako vizuri maneno, herufi kutengeneza presentation na zaidi Kwenye masuala ya office.

Iko kwa Ajili ya kuwasaidia watumiaji wa Microsoft teams, Outlook, PowerPoint na Microsoft words. Mfano unataka kutengeneza pivot table Kwenye excel au kutengeneza attendance itakusaidia.

Ikiwa umeandika email ndefu unataka kuipunguza unaweza kutumia copilot na kuweka kwenye mfumo mzuri wenye kueleweka.

Ziko feature zaidi ya 150 itaanza kupatikana Kwenye update mpya ya window 11 pia Kuna ongezeko la feature mpya ya Akili bandia Kwenye app kama vile paints, photos , clipchamp na snipping tool.

Itaanza kupatikana tarehe 27 septemba mwaka huu 2023.
images%20(22).jpg
 
Back
Top Bottom