Natengeneza professional websites, static and dynamic gharama zangu ni nafuu sana.
Kwa information zaidi nipigie
0758 717754
kwanza hapokei simu huyu bwana
Mkuu mtu kutengeneza kitu kwa bei nafuu kunakua na factor nyingi.. unaweza ukatengeneza kitu kwa bei nafuu ili uvutie wateja wengi, pia unaweza ukatengeneza kwa bei nafuu kwa kua kwa wakati husika hauna wateja wengine ivyo kuliko kukaa bila kazi unaamua kupunguza gharama zako. Jaribu kupitia kitabu cha Ian Sommerville, kwenye sehem ya "software cost estimation".Kwanza kabisa naomba nikuambie kwamba hakuna kitu kama cheap professional website, if its professional then somebody has to pay some money for it.
Sidhani kama kuna ulazima wa kufanya kila kitu from the scratch kama kuna uwezekano wa kudownload template even to buy it kisha ukacustomize, provided kwamba hakuna hasara unayopata. Chukulia mfano unatengeneza website kwa USD 400, then unadownload template inyouzwa USD 70, na inakua imekwshakua optimized kabisa. We unaona kuna tatizo hapo?[/QUOTE]Wewe usije ukawa ndio wale mnaocustomize templates za kudownload online then you call yourselves web designers, wakati haujui hata kuandika css.
Naona unataka kumvua mvuvi aisee... teh teh tehKama hapokei! Mie pia nafanya kazi hizo boss nimwajiriwa wa Shaaban Robert Secondary School Homepage kama webmaster na kwa my private time huwa nafanya hizi kazi kujiongezea maarifa na kipato hizi ni baadhi ya kazi zangu East Africa Business & Media Training Institute | Center of Excellence, Happiness House Of Cakes | House of Quality Cakes plus na hiyo link nilioonyesha hapo juu! Gharama zangu ni za kawaida na pia offers mbalimbali natoa! Kwa mawasiliano please piga 0713488889
[/QUOTE]Sidhani kama kuna ulazima wa kufanya kila kitu from the scratch kama kuna uwezekano wa kudownload template even to buy it kisha ukacustomize, provided kwamba hakuna hasara unayopata. Chukulia mfano unatengeneza website kwa USD 400, then unadownload template inyouzwa USD 70, na inakua imekwshakua optimized kabisa. We unaona kuna tatizo hapo?
It is that mentality ambayo inasababisha watanzania tuendelee kua nyuma technologically compared with our east african neighbors, and the problem is most web design companies in Tanzania employ so many guys who think like that, kwamba just download a template, put the logo add content and that's it, then you call yourselves web designers, so hembu nikuulize hata kama unanunua template utacustomize kitu gani kama haujui css au wewe ku customize unaelewaje? Look man, if you wanna call yourself a web designer you have to know css & html as the minimum required skillset otherwise just find another profession achia watu walio serious wafanye hizi kazi.
Just look at the tanzania government website and look at the whitehouse.gov website, are you going to call the guy who designed the tanzania governmet website a web designer? its such a shame, that this country's websapce is full of cheats who call themselves designers, tusipende shortcuts, creating genuine products require some sacrifice.
Nimeshakutana na clients wengi sana wanaokuja, unawaambia price anasema eti mbona fulani anatengeneza kwa dola 400, then wakienda huko a few months back wanakuja wanataka uwapunguzie bei kwa sababu yule jamaa wa 400 tayari walishamlipa lakini hakuwafanyia kazi vizuri, it is a very polluted environment because of guys that think like you.
Sorry for a long post but kama unataka kujiita designer then learn how to design, kusoma inatakiwa iwe ni part ya kazi yako, everyday there's new stuff coming out, keep yourself sharp, don't just create some silly looking tables like that guy aliyetengeneza site ya shaaban robert, site imekaa upande, some images are not well aligned, and the guy who did it had the audacity to market himself hapa kwamba kama unataka web umcall, really?? do u think if that guy did a little css kwenye hiyo site ingekua inaonekana hivyo? then ukiangalia site zake nyingine almost all look like they share parents, zote zinafanana, we need to change and stop being lazy, learning is free online, acheni uvivu, web designing is a profession just like engineering.
mkuu kila siku unachanganya developer/programmer na designer. unaweza usijue programming na ukawa designer kuna tools kibao siku hizi zinatengeneza web/template from scratch na unatoa kitu makini kabisa. wewe unaongelea developer au programmer
Haha, sichanganyi kitu bwana, embu nioneshe hizo templates ambazo unaziita "makini" ambazo zimetengenezwa na hizo tools, au nioneshe designers ambao wanazitumia nione kama kweli kuna kitu kama kutumia tools kutengeneza templates makini
haha, and that's the best artisteer can do?
hebu tuoneshe wewe what best you can do
zec muda wote anaponda tumi uwa nacheka sana zech anajua sna kuanzisha mijadala akizungumzia coding from scratch, sio tatizo, hatukatai, lakini maneno tupu hayavunji mfupa.
anadai ee is the best, sasa kuna zaidi millions of websites wanatumia joomla, wordpress, drupal n.k wao wooote sio wataalam ila yeye tu. watu wanajua css, wanajua html, ila kuna vitu vya kuzingatia ndo maana zikawekwa sites kama templatemonster na themeforest,
zech nakuhakikishia you wont survive in the game coz u are rigid
zec muda wote anaponda tu