Unahisi ni nyuzi gani hapa JF zinamchekesha sana Rais Samia?

Mama yetu mpendwa, kama utapitia huu uzi usisahau kupita kwenye hii reply. Wana jf wote kwa pamoja tunakupenda sana na kukuheshimu vikali. Sio sisi tu, hata guests wote wanakuheshimu. Sio tu hao, bali watanzania wote kwa ujumla. Tunakuombea maisha marefu yenye baraka. Tutakuwa nawe hata kwenye kipindi chako cha awamu ya pili ya utawala wako, malkia
 
Habari wakuu...Mama leo kasema huwa anafuatilia sana jf na anasoma maoni yetu hapa jamvini....huwa anacheka sana...

Je?

Unadhani au unaweza guess ni nyuzi gani aua comment gani zinamfanyaga acheke zaidi.....??

Niko paleeeee
Nilipo soma tu mama ni JF reader, nikasema Bill Lugano na Bujibuji Simba Nyamaume hawajamvunja mama mbavu kweli?
 
Mama yetu mpendwa, kama utapitia huu uzi usisahau kupita kwenye hii reply. Wana jf wote kwa pamoja tunakupenda sana na kukuheshimu vikali. Sio sisi tu, hata guests wote wanakuheshimu. Sio tu hao, bali watanzania wote kwa ujumla. Tunakuombea maisha marefu yenye baraka. Tutakuwa nawe hata kwenye kipindi chako cha awamu ya pili ya utawala wako, malkia
Mama anatakiwa abadili Katiba atawale milele afie kitini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom