Unahisi kumpenda nani hapa JF?

hahahaah kumbe na wewe uliachia Upadre katika hatua za mwisho eeh? Kama Dr. Slaa vile. Ewaaaa~Waseminaristi bana
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
nyingine sijaona
 
umekuwa mbogo ghafla.......



hamna haja ya bukingi we mbona ni promota tayari.....



maelezo kayatoa charity pale kwa juu zaidi na mengine hay ahapa chumba cha wagonjwa mahututi

B....au basi ntamalizia baadae kale kawimbo ukikoanzisha jana
nampenda nampenda.............................



sema pole pole basi na wewe!!
Taratibu, naona waumini wanauliza maswali sasa, kanisani hakuna kuuliza maswali

sawa??!!!
 
Nikiiweka wazi hspitali ninayofanyia kazi nitakuwa nimekiuka taratibu za JF na nitastahili ban, ni kweli hiki kipaji cha kutibu kwa tarumbeta ni cha kipekee

NiPM basi hilo jina la hospitali au andika kwa chaki bht hataona.
Naona hiyo hospitali yako inayotibu kwa matarumbeta inaweza kuwa ni tiba mbadala ya matunda ya asili na mimea kama ya Dk.Ndodi

Edit hii fasta....nikirudi nisiikute kabisa.
Nipruvu rong kwanza kama kweli hakuna kalaana.Weka madata hapa ya kuhakikisha kwanza ndio ntaedit.
 
tutofautishe kupenda na kutamani. Huwezi kumpenda mtu kama hujawahi kuishi nae na kumjua kiundani zaidi. tafadhari simaanishi kumjua kingono.
 
kwani ni kumpenda kivipi?kuna kupenda kwa aina nyingi fafanua,kuna kupenda kwa jionsia moja na jinsia tofauti tufafanulie tafadhali
 
heheheheNawapenda Kaizer, pape, RAy B. , De novo, Paka jimmyMasanilo ananichanganya natamani kumpenda lakini simuelewi sometimes, Nyamayao, FL1, Preta,Mwanajamii1 !.Kumbe nawapenda wengi hivi. loh
Nampenda pia Nanu, Bubu ataka Kusema.Nanu wherever you are kula tano
 
heheheheNawapenda Kaizer, pape, RAy B. , De novo, Paka jimmyMasanilo ananichanganya natamani kumpenda lakini simuelewi sometimes, Nyamayao, FL1, Preta,Mwanajamii1 !.Kumbe nawapenda wengi hivi. loh
Nampenda pia Nanu, Bubu ataka Kusema.Nanu wherever you are kula tano

Halleluya! Bwana asifiwe! at last BAK naye kapata mtu anayempenda hahahahahahaha ;) Ahsante sana Mkuu utakuwa mpendwa milele katika moyo wangu. Ahsante sana :)

Have a great day :)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom