Unahisi kumpenda nani hapa JF?

haha uzi wa cku nyingi duu yaani niwe muwazii akatai huo lify langu liko fb hata jf cjuii
daa haya maisha ni mznguko
 
Unampenda humu humu JF na yanaishia humu pia. Wengine pretender tu
Kuna kipindi tunajaribu kutoka na "superstar wa JF" ili tujue km matawi ya juu ana magumashi...Bora cc tunasema wazi ni watoto wa Uswaz so cku tukipata demu asishtuke tukimleta bondeni nyumba mbavu za mbwa...sebule stool 5.....Anayenipenda ajitokeze
 
wataka jitokeza
 
Mie kuna mtu nampenda huyo yaani basi tu kumwambia siwezi nabaki kusoma Comment zake na kuumia kimya kimya
Lkn pia ukiacha hilo nawapenda wotee humu ndani maana kupitia nyie nmejifunza vitu vingi ambavyo sikuwa navifaham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom