Unahisi huu mguu unapatikana mkoa gani.

bo0oy


Kutokana na jinsi nilivyotembea mikoa mingi hapa Tanzania. Hili guu linaweza kuwa la Tabora, Dodoma, Kigoma, Singida, Moshi (milimani kwa wapishimundu), Pwani, na Rukwa.
 
Mama Mdogo nakushitaki sasa hivi, huu ni mguu wa mke wangu na mke wangu si mtu wa huko. Unayeje mke wangu wewe?

Mguu huo ni wangu, na mimi siyo mkeo!!! Ukitaka ushahidi njoo na mkeo kijiji cha Kirando (wilaya ya Nkasi) wiki ijayo ninaendesha semina hapo ulinganishe na ujionee mwenywe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom