unafanana na kikombe cha KAHAWA...hadi USIMAMIWE, acheni izo hapo

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
jitume ukipewa kitu mtu mzima ww...
unataka kila kitu pawe na bakora "nyuma"...
onesha kama unaweza!!
iko haja wakoloni warudi hapa nchini...
naona bado kabisa!
hopeless kweli nyie!..
 
Bagah,
kulikoni mkuu ?
Jipovu lote hilo usiku huu ?
Nani kakuchanganyia data ?
 
Wanao au Mkeo???
Sema mkeo hajitumi na wewe ulivyomvivu ushachoka hasira zimekupanda kidume...teh

vunga basi rick aise!..
tehe unataka waelewe sasa.
hiyo inakuhusu hata ww hapo ofcn...shulen na nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom