Una kazi?, Una nyumba?, Una gari?, Una...........???!!

...Binti hawezi kuulizwa maana jamaa yeye ndio alijipeleka kwa wakwe watarajiwa kwa ajili ua kujitambulisha...So swali kwa binti likuja baadaye sana maana ya vumbi kutulia ndipo alipoulizwa kama anamfahamu jamaa na anakubali ombi la mshikaji kumtaka uchumba...maswali ni ya msingi kwa maisha ya sasa ya .com

Vipi kuhusu mlikutana vipi ??
Je unampenda??
una matarajio gani katika maisha na binti yetu??
hayo ndo maswali ambayo nilikuwa natajaria kuyaona..
 
...Mh! Hivi kuna uwezekano kijana wa siku hizi akaoa binti bila kumchakachua kidogo? Kwa sababu jamaa ni mshikaji wangu sana na yule dada amekuwa naye kwa takribani mwaka na nusu wanajuana vizuri sana mambo ya net work mambo zose si unajua tena!!
Mbona hakujua kama ana mtoto pembeni???????? Vijana bwana, kuweni wawazi!!!!!
 
Hakuulizwa ana Tembo card master card lol matangazo mengine yanawaharibu hadi wazee wetu
Kati ya matangazo ambayo naona hayana logic hili ni mojawapo, ningekuwa marketing manager wa crdb ningebadilisha haraka. huyo mzee kakopi tu humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom