UN imejiridhisha kwa ushahidi kwamba jeshi la Rwanda linahusika katika vita ya Congo. UN imechukua hatua gani?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Yaani hii UN wakati mwingine huwa sielewe uwepo wake.

Imagine si mara ya kwanza wao kusema jeshi la Rwanda linahusika katika vita hivyo jana tu wametoa Ushahidi wa picha ya magari na vifaa vya jeshi vikitumika katika vita hivyo.

Lakini hawana hatua yoyote wanaochukua dhidi ya nchi ya Rwanda.

Halafu nchi za Magharibi zinataka Congo kufanya mazungumzo na waasi. Hivi hayo mazungumzo ni yapi kwa mfano?

Bado nafuatilia mwelekeo wa vita nione wapi vitaishia lakini UN sina kabisa imani na UN. Kuna ajenda ya siri inahusika katika vita hivi.
 
Kwani walianza Leo kujiridhisha?

Cha msingi ni kwamba DRC ni Nchi dhaifu yaani inapelekeshwa na kanchi kaduchu kama Rwanda? Ni aibu kubwa.
 
Yaani hii UN wakati mwingine huwa sielewe uwepo wake.

Imagine si mara ya kwanza wao kusema jeshi la Rwanda linahusika katika vita hivyo jana tu wametoa Ushahidi wa picha ya magari na vifaa vya jeshi vikitumika katika vita hivyo.

Lakini hawana hatua yoyote wanaochukua dhidi ya nchi ya Rwanda.

Halafu nchi za magari zinataka Congo kufanya mazungumzo na waasi. Hivi hayo mazungumzo ni yapi kwa mfano.

Bado nafuatilia mwelekeo wa vita nione wapi vitaishia lakini UN sina kabisa imana na UN. Kuna ajenda ya siri inahusika katika vita hivi.

View: https://twitter.com/TheGuardianTzO1/status/1757328494864855205?t=zpuaDV0BANWNpRDGRhMNqw&s=19
 
Kwani walianza Leo kujiridhisha?

Cha msingi ni kwamba DRC ni Nchi dhaifu yaani inapelekeshwa na kanchi kaduchu kama Rwanda? Ni aibu kubwa.
Unataka kuniambia kwamba Israel inaweza kupigwa na Tanzania kwa Israel ni nchi Dogo?
 
"Yaani hii UN wakati mwingine huwa sielewe uwepo wake."
👆

UN= USA, Russia, China, Canada, France, Britain etal

UN ni majar neo-colonial master
 
Back
Top Bottom