golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,271
- 688
- Thread starter
- #21
Jiamini!Hatofanya kitu!
najiamini sana,
ishu ni pale anapotuma meseji zake za mapenz nikiwa na mwandani wangu.
Jiamini!Hatofanya kitu!
inategemea alikuwa close kiasi gani wakati uleee tulipokuwa pamoja
Habari zenu wanaJF......
hivi mtu unajisikiaje unapomuona mpenz wako wa zamani akiwa na mpenz mpya?
how does it feel to let go? my ex can't let go, she's still on my back and sometimes very disturbing too. it's been two years and time has not healed or mended her heart....what must i do to take her off my back?
Mkuu!
Nilikuwa na GF na mimi nikaja nikambwaga, alinitukana matusi ya aina zote akakaa. Baada ya muda akawa ananitumie sms akijifanya kama amekosea namba, kwa kuwa mimi ni mwanaume sikuendekeza visasi nikawa na respond tu,
Baada ya kupata GF mpya aliendelea kuwa anaendeleza mawasiliano nikamwambia nina GF mpya please punguza spidi, akaanza tena matusi yake ikabidi nimkabidhi GF wangu mpya namba ya simu wakamalizana japo walirushiana maneno.
Yule GF wa mwanzo hajakata tamaa bado anawasiliana na mimi na kwa kuwa GF wangu wa sasa yupo chuo nachat nae ex GF, lakini nikaja kufikiria italeta shida nikamwambia GF wangu kuhusu ex GF wangu,n tukakubaliana awe rafiki yetu wa kawaida na mambo yanaenda poa sasa!
Tatizo ni kwa GF wangu wa sasa ananikera sana sometimes huwa anamsifia ex BF wake au huwa ananiita jina la ex BF wake hapa huwa ananiudhi sana.
That's my expression!
mkuu hii ni so wengi hawakubali matokeo na ukitaka vita isiyoisha we tangaza kusitisha uhusiano kifuatacho itv ni matuc, kejeli, dharau magomvi , kashfya alafu baadae anakwambia nisamehe bado nakupenda nitajirekebisha ni shetani kanipitia ukimwambia upo sirious umtaki tena anaanza tena moja
sasa na pesa za watu si unarudisha!na inategemea kama ni mke kuna process za kuachana .coz kama ni mke na mlichuma pamoja anastahili kabisa mgawane kile mlichochuma.mkuu hii ni so wengi hawakubali matokeo na ukitaka vita isiyoisha we tangaza kusitisha uhusiano kifuatacho itv ni matuc, kejeli, dharau magomvi , kashfya alafu baadae anakwambia nisamehe bado nakupenda nitajirekebisha ni shetani kanipitia ukimwambia upo sirious umtaki tena anaanza tena moja
Ujinga mtupu huu!!!!! Ex ... ex ...ex bullshit!!
Nakuonea huruma, wakati unajitahidi kumwonyesha mpenzi wako kuwa umeachaa na yule wa zamani, yeye yuko bize kumkumbuka wa kwake, maisha haya wajameni muwe waangalifu unaweza ruka mkojo ukakanyaga mav... but it seems uko honest sana kwenye uhusianoMkuu!
Nilikuwa na GF na mimi nikaja nikambwaga, alinitukana matusi ya aina zote akakaa. Baada ya muda akawa ananitumie sms akijifanya kama amekosea namba, kwa kuwa mimi ni mwanaume sikuendekeza visasi nikawa na respond tu,
Baada ya kupata GF mpya aliendelea kuwa anaendeleza mawasiliano nikamwambia nina GF mpya please punguza spidi, akaanza tena matusi yake ikabidi nimkabidhi GF wangu mpya namba ya simu wakamalizana japo walirushiana maneno.
Yule GF wa mwanzo hajakata tamaa bado anawasiliana na mimi na kwa kuwa GF wangu wa sasa yupo chuo nachat nae ex GF, lakini nikaja kufikiria italeta shida nikamwambia GF wangu kuhusu ex GF wangu,n tukakubaliana awe rafiki yetu wa kawaida na mambo yanaenda poa sasa!
Tatizo ni kwa GF wangu wa sasa ananikera sana sometimes huwa anamsifia ex BF wake au huwa ananiita jina la ex BF wake hapa huwa ananiudhi sana.
That's my expression!
unajua kuna wakati mpaka unampigia kelele kwamba "SIKUTAKIII"....lakini wapi kesho atakutumia meseji ya mapenz.