Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,571
- 65,420
Naam...Duh! deko la mwendokasi hilo nadhani!
Naam...Duh! deko la mwendokasi hilo nadhani!
Kama bibi yuko hivyo sijui babu atakuwaje?Bibi utavunja mifupa...loooh!
Kama bibi yuko hivyo sijui babu atakuwaje?
Ila usifike kule pa kumeza vidonge kwa halua tafadhali sana dada yangu.Naam...
UKUTA ni nini? Au UMOJA WA KUSAIDIANA UINJILISHAJI TANZANIA auanajiandaa na UKUTA....!!
nipo...umenimiss?Long time no see you rafiki
Unaweza kufanya Kama anavyofanya bibi hapo...Teh tehNini Sadolin?Hata chakula nitataka unibebee...c'mon.
Mkuu mimi mwili wangu ulivyo sina haja ya mazoezi.Unaweza kufanya Kama anavyofanya bibi hapo...Teh teh
Duuuuuh babu katishaaaa