Anaolewa yeyote tu ambaye sheria inaruhusu kuanzia 18 na kuendelea
miaka 12Wadau msichana mwenye umri gani ndo ana faa kuoa namanisha range in age kuanziia miaka mingapi adi mingapi?
Kisheria ni kuanzia 18yrs.
ni 14 kama sio mwanafunziAnaolewa yeyote tu ambaye sheria inaruhusu kuanzia 18 na kuendelea
Ukioa hawa walio kwny age ya selfie ni majanga matupu!
kanapiga hiyo sijui inaitwa sharafu afu kana binua tako basi unakafata inbox kanakwambia nicheki whatsapp 071478...... tuchart kameisha
Hahahahaa hawa watoto wa kike cku hizi ni majangq makubwa aisee...mpaka aje aolewe keshapigwa na wanaume 20+ na wengine amewahau!