Umri sahihi wa kuoa kwa wanaume na kuolewa kwa wanawake ni upi?

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
 
unajhuainategemea.
kama wewe unaamini kuwa sex b4 marriage ni sin basi mie naona by twenty four twenty five uwe umeoa

lakini kwa dunia hii ya siku hizi ambapo unaweza pata mzigo anytime unaweza kuoa ata baada ya miaka 30.
 
uki mature vya kutosha
na ukiwa tayari ..
Maana kuna wengine miaka 40
lakini bado wana act kama watoto waliobalehe...

upo so right my dia, umri sio tija sana. Ni ability ya kuweza ku take responsibilities kimawazo na kimatendo..taking into consideration uwe umejipanga pia.
 
ila katika mabishano wengine wanasema wanaume 30 anakuwa active na akili zimeseto ila wanadai msicha ukifika 30 hakuna dalili ujue mdodo unakunukia:yawn:
 
habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
Ni kwa nini usiseme wewe ndio unaeuliza? kwa nini unatumia Third part? wao hawajui kutumia Internet wajiunge wenyewe JF?
 
tembocard mastercard...(kabila flani hivi)
sasa ww mvulana unakaa kwa dada yako na una miaka 29, unaweza kuoa?
mi nafikiri uwezo wa kuoa sio wa kufanya kitendo,
kujipanga hasa kimawazo na kipesa TEMBOCARD master card yahusika sana.

mi naona ukiona uchumi wako haueleweki endelea kugonga gonga mtaan had ujipange.
Note: ni mtazamo wangu.
 
kwa sisi tuliotoka chuo na ajira za taabu huku mtaani hata dalili hazionekani...kujiajiri tunatamani lakini mtaji kupata ni ishu...na umri unazidi kusonga....sasa hapo kwenye tembo card master card itakuwaje?
 
hili suala ni kuwa tayari kimwili, kiuwezo (i mean uwezo wa kutunza familia kwa wanaume), kiakili, na kihisia,
ukijiona uko sawa kila nyanja hapo basi jua unauwezo wa kuoa/kuolewa
 
ukisha kuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha bora uolewe/uoe. Uwezo wa pesa unameta japo mdogo
 
Kiukweli kuna mambo kadha wa kadha ambayo watu uzingatia kabla ya kufikia uamuzi wa kuoa au kuolewa..
Kila mtu na mtazamo wake lakini wengi wamejikuta katika makundi yafuatayo..
Wapo wanaoangalia:
1/muda(umri)..
2/uwezo wa kifedha..
3/shinikizo la wazazi,
4/nafasi(hadhi) haliyonayo katika jamii..
5/namengine kama haya..
Bila kujali unampenda mtu kiasi gani na vipi kama mnaweza kuishi pamoja..?mtu uamua kuingia kwenye ndoa kwa sababu..na si upendo..
Ndoa kama hz kudumu kuna kazi sana..
Na kwa kuwa mdau ulitaka 2gusie umri tu..
Mim kwangu sioni kama kuna umri sahihi wa kuoa au kuolewa baada ya kubalehe..isipokuwa umekutana na mtu unaempenda na kuweza kuishi pamoja...
Hayo mambo mengine yanatafutwa kiukweli.., nani alizaliwa navyo kwani..?!
 
Back
Top Bottom