UMOJA WA ULAYA: Tanzania zuieni vitendo vya uvunjifu wa amani laa sivyo mtawekewa Vikwazo

Jeuri ya kuiwekea Tanzania vikwazo hawana ni vitisho tu ili wapewe mikataba ya kuvuna wasichopanda madini,gesi na maliasili kibao wanazozitamani kila uchao.
 
Hongera Nchimbi, you did it! Tanzania has been upgraded to high risk area. Pia nachukua fursa hii kupongeza Waziri wa Elimu for the record breaking performance 60 plus % failure rate.
 
Labda vikwazo vya kwenda mwezini na sayari nyingine. Maana kwa dunia hii vilibakia vitongoji.
 
Hao kweli wapuuzi. Mbona hawajaiwekea vikwazo Marekani kwa ugaidi wa september 11 na matukio mengine ya kigaidi?
Umeanza ndoto zako,nadhani wangetuwekea hivyo vikwazo ili hawa ma alqaida wanaosafiri kila siku watulie nyumbani wametumalizia kodi zetu na hatuoni mafanikio yeyote,zaidi ya kuendelea kuwa omba omba,nadhani UHURU msg is a working up call,
 
Umoja wa Ulaya umeitaka Tanzania iendelee kutunza heshima yake ya kusifika kuwa kisiwa cha amani kwa kuzuia vitendo vya uharifu kama mauaji ya viongozi wa kidini na matukio mengine ya kigaidi vinginevyo TZ itawekewa vikwazo na nchi wanachama

Source: STAR TV

Tungekuwa na viongozi/uongozi japo wenye uwezo kwa asilimia 20 basi ingekuwa kinyume. Sisi ndo tungeweka vikwazo kwenye rasilimali zetu na wao ndo wangekuwa sasa hivi wanapiga magoti. Lakini ndio hao tulio nao na "mungu ndo katupa".

Baadhi ya mambo unaweza yapata Tanzania/Afrika tu!!!!
 
CHABUSO ACHA KUKATA TAmaA si matajiri vipi mnataka muendelee kuomba ilimuwe mnapiga ten percent kwenye mikataba. Maana tukikaa na kujitambua hakusa misaada, kenya nusu yanchi jangwa lakini 100% wanijetegemea sisi tuna nini, kwani sie wanawake warembo tunangojea kuletewa na wanaume.
M

Sio kukata tamaa mkuu,hivi sasa tunapata misaada pamoja na utajiri wetu hakuna hata sector moja iko sawa,je wakitukatia misaada watu wa chini watu masikini tutaishi vipi

Husifananishe Kenya na Tanzania,Kenya rasilimali za nchi zinatumika zinavyotakiwa hata kama zinaibiwa.....Tanzania kila siku tunasikia trilllioni zimewekwa Uswizi,ngpi zimewekwa South Afrika......nk,hatusikii hata siku moja hao walioziiba na kuziweka huko kushtakiwa
 
Umoja wa Ulaya umeitaka Tanzania iendelee kutunza heshima yake ya kusifika kuwa kisiwa cha amani kwa kuzuia vitendo vya uharifu kama mauaji ya viongozi wa kidini na matukio mengine ya kigaidi vinginevyo TZ itawekewa vikwazo na nchi wanachama

Source: STAR TV

Waambie waache unafiki. Mbona huwa wanatusema kuwa ni nchi masikini sana na kutucheka. Hawa ni wanafiki sana.
 
Tuwekewe vikwazo kwani enzi za mababu zetu tuliishi vipi. Utu ni thamani kubwa kuliko pesa ndio maana tuliomba uhuru ili tujiamulie mambo yetu wenyewe. Afrika isipokuwepo ulaya hakkuna maisha wanatutegemea sana tu ni ujinga wetuwa kukodisha mashamba na kugawiwa unga kwenye kibaba.
 
geresha tu hiyo kaka. woote jambo lao moja. hayo madini wanayochukua jeee kwa mwaka......
 
usione kuwa wameambiwa hivyo ukadhani wanaweza kuwaangusha. kuna maslahi wa ulaya wanapata , migodi yetu ndio utadhani yaoo. wamajibinafsishaaaa
 
Wamarekani walifanya ugaidi wa september11? Mahaba ya vyama yanatuduwaza. mungu mrehemu huyu kijan

We kweli mwehu.

Ujinga wako wa kibavicha unakufanya ushindwe kujua dunia ikoje.

Hakuna ugaidi uliofanywa na serikali ya Tanzania.

Zipo conspiracy theories zinazoihusisha serikali na ugaidi. Theories hizo zipo Tanzania kama jinsi zilivyo Marekani. Wapo watu wanaoamini kuwa september 11 was an inside job kama jinsi wewe bavicha unavyoamini kuwa ugaidi wa Tanzania is an inside job.

Nyinyi vijana wa bavicha ni SIFURI kabisa. Hamjui dunia ikoje!!!
 
Back
Top Bottom