ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,329
- 15,473
Itakiwa cheni yake ilitoka. Iliwahi kunikutaLeo hii nilikuwa nakimbilia mahala..
Sijui ilikuwaje nashitukia nipo chini ..mwenye boda boda naye kashangaa ilikuwaje..maana ...hakukuwa na cha kufanya tuanguke!