Umewahi kujutia kwanini umeoa au kuolewa?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Hivi kuna siku umewahi ku-regret kwanini umeoa ,umeolewa au umeingia kwenye mahusiano ambayao unadhani mtu uliyenae si sahihi kwako ?kama tujuavyo maisha yana ups and down kibao
- DO you think you made a mistake choosing your partner?
- How often you're tempted to be unfaithful and how often you fall
grin.gif
.
- How long you think the marriage/relationship will last.? forever or:A S-rose::love::A S-heart-2:

Naamini kuwa some time love is just enough so can not be something to last forever!
 
Yap ilishawahi kuniokea na Ku-regret kwanini nimeingia kwenye Mahusiano na yule BINTI!!!
Its a Long Story but Binti alikuwa hataki hata kusikia naongea na SAUTI ya KIKE,
Anataka kuni MONITOR kila ki2,anaweza kupokea simu akisikia sauti ya KIKE 2
basi haulizi kinachofuata ni MATUSI hata akiwa ni DADA yangu as long as haijadisplay JINA!!!
 
Kuna mwanafilosofia mmoja aliwahi kusema:
Kuoa ama kutokuoa, lakini yote siku moja utakuja kujuta!
sijui kama maneno yake yana ukweli!??
 
- How long you think the marriage/relationship will last.? forever or
A%20S-rose.gif
:love:
A%20S-heart-2.gif

Hapa kama mliapa kwa Mungu hii ni bora uanze kumwomba Mungu amwepushe halaka mwenzako

Mimi sijawahi kuregret kwa kuwa najua fika kuwa maisha na mapenzi kwa ujumla yana mwisho wake,iwe kwa kuachana au kufa,watu wengi ambao huwa wanajuta baada ya kuachana na wenzi wao wanakuwa bado hawajatambua maana nzima ya maisha na mahusiano,si rahisi watu kufanana na kuendana kwa kila hitaji lenu katika maisha,hivyo suala la kutaka mtu awe kama utakavyo huwa si rahisi na hapo hukuta watu hulaumu na kuona wenzi wao hawafai au walifanya chaguo lisilokuwa sahihi.
Sula la kuchepuka na kutafuta mwenza wa pembeni ni tabia ya mtu kulingana na sehemu alipo,wakati na namna anavyoishi na mwenza wake.
Kila mtu hutamani kuwa na mwenza wake milele na kinachotokea katika maisha ndio huwakwamisha wenza wengi kutimiza ndoto zao za kuwa pamoja milele.
 
People always think kwamba the grass is greener pengine......... lakini kumbe pote kuna matatizo hata mapacha huwa wanagombana the only solution ni kuvumilia na kubaki nae huyo huyo....... Solution ni Kuvumiliana then the marriage will last till death do you apart
 
Yap ilishawahi kuniokea na Ku-regret kwanini nimeingia kwenye Mahusiano na yule BINTI!!!
Its a Long Story but Binti alikuwa hataki hata kusikia naongea na SAUTI ya KIKE,
Anataka kuni MONITOR kila ki2,anaweza kupokea simu akisikia sauti ya KIKE 2
basi haulizi kinachofuata ni MATUSI hata akiwa ni DADA yangu as long as haijadisplay JINA!!!

huyu alikuwa na wivu uliopitiliza alitakiwa kuwajua ndugu ,jamaa na marafiki zako wote labda ingesaidia ingawa bado ni ngumu
 
Haya mambo hutokea pale maugomvi yatakapoanza! Wivu,uzinzi,ukorofi,ubishi,kunyimwa tunda,dharau n.k..!
Yakianza haya utaanza kujiuliza dah kumbe huyu siye kabisa..the point here ni upendo wa kweli na uvumilivu..am sure u'l neva regret
 
Si unajua NDUGU ni wengi sana siku hizi dada!!
Huwezi kuwajua ndugu wote wengine huwa wanajitokeza kumbe ni mtoto wa best yake Mama!!

huyu alikuwa na wivu uliopitiliza alitakiwa kuwajua ndugu ,jamaa na marafiki zako wote labda ingesaidia ingawa bado ni ngumu
 
Inatokea kwa kutokujua commitments za ndoa, duties and responsibilities. Wengi wanataka mambo ya u-boyfriend na u-girlfriend wa paste kwenye ndoa. Hawajui uhusiano wa kabla ya ndoa ni so artificial. Wakiingia in to so called Natural thing hapo ndio wanaanza kujuta na kutaka kurewind back the scene.
 
Si unajua NDUGU ni wengi sana siku hizi dada!!
Huwezi kuwajua ndugu wote wengine huwa wanajitokeza kumbe ni mtoto wa best yake Mama!!

Ila mzee huyo mtoto wa best yake mama akikaa sawa unaweza ongeza jiko kama dini inaruhusu. Kuna mambo mengine ni sisi ndio wachawi we unajua nimeoa basi unanunua vocha kama ya 30,000/= two weeks kabla ya ndoa una wasukumia txt msg contact list yako yooote hadi vicheche, kama kesho kutwa harusi unarudia tena na kuhakikisha ujumbe umefika so will be no calls unless huyo mtu ana yake au umeacha mbegu sasa zinahitaji kumwagiwa maji zimee vizuri
:teeth:
 
Hivi kuna siku umewahi ku-regret kwanini umeoa ,umeolewa au umeingia kwenye mahusiano ambayao unadhani mtu uliyenae si sahihi kwako ?kama tujuavyo maisha yana ups and down kibao
- DO you think you made a mistake choosing your partner?
- How often you're tempted to be unfaithful and how often you fall
grin.gif
.
- How long you think the marriage/relationship will last.? forever or:A S-rose::love::A S-heart-2:

Yes! mahusiano tu masharti kibao, nilikuwa napangiwa, monitored na kuhojiwa sana we lasted for about three years. Ilikuwa ngumu kuachana
 
Back
Top Bottom