Umewahi kujutia kwanini umeoa au kuolewa?

Nilichojifunza uvumilivu ni muhimu mnooo,Kuna tyms mtu unajiuliza hivi sijui nibaki,but mwezi akiwa worth the pain unabaki,pia maombi mana mitego ya shetani aaah ni mingi mnoo tena yenye kuvunja moyo,ukiwa kwenye mapenzi vizuri tu afu ukaona mambo yanabadilika bila sababu za msingi usikimbie,piga GOTI kwanza mlilie Mungu atakuonyesha/atafungua njia,
Na kukubali kuwa hakuna mkamilifu, kubali kasoro za mwenzako itasaidia na yeye akukubali,pia mawasiliano ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom