Kichwa kinaniuma, the leaders are confused. Hii yoteni kwa interest ya nani sio ya mpiga kura ila ya wazungu, waasia na wageni wengine ambao ndio priority.
Kingamboni ni bomu linalosubiri kulipuka Labda Serikali ya CCM iwaamishe watu kinguvu.Kwani mseto uliopo Kigamboni acha tu.Cjui kama this project will take off,Wajanja wamelikologa so kula a lot of leagal complexity
Hizi ni ndoto, labda CCM ikiondoka madarakani. Jee zile NHC vyumba sita si zilikua temporary acommodation kwa ajili ya master plan ya wakati ule ? mpaka leo zimekua nyumba za kudumu mpaka zingine zimebomoka zenyewe badala yake kumejengwa nyumba hazikua hata katika hiyo original plan. Angalia Kariakoo, Ilala na kwengineko. Sisemi haiwezekani lakini kwa utawala huu mmmmmh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.