Nauliza tu hivi Mbunge wa Kigamboni mbona haonekani kwenye kata zake toka achaguliwe?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,041
Wadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.

Kusema ukweli wakazi wa KATA hii tunapitia Changamoto nyingi sana kubwa kuliko ni UBOVU wa BARABARA zetu.

Tuliamini kutembelewa wa Mbunge tungesaidia kuziona Barabara zetu za Kata jinsi zilivyoharibika pia kujua Matatizo ya Wananchi ktk Kata hiyo.Inashangaza sana toka Mbunge alipopita wakati wa Kampeni hajaonekana tena ktk KATA ya Vijibweni.

Kuna Mji mpya umeanzishwa karibu na Chuo cha Mkorea Mtaa wa Kisiwani kuna Viwanja zaidi ya 300 vimepimwa na Ujenzi umeanza lakini Miundo mbinu ni Changamoto kubwa.Barabara hazipitiki Mitaro haijajengwa na TANESCO hawataki kuleta Umeme licha ya Wateja kuuhitaji sana Umeme.

Popote ulipo Mbunge wa Kigamboni hebu Tembelea kata yako ya VIJIBWENI na huo Mji Mpya uwasikilize Wananchi Changamoto walizonazo ushirikiane nao kuzitatua.

Pia Wakati wa ZIARA yako Unaombwa UANDAMANE na
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni
Mhandisi wa Manispaa
Meneja wa TANESCO Kigamboni.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.

Pia Wakati wa ZIARA yako Unaombwa UANDAMANE na
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni
Mhandisi wa Manispaa
Meneja wa TANESCO Kigamboni.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ngojea Wakati wa Kampeni ya Uchaguzi wa Wabunge atakuja kuzungumza na Waanchi ili wampe kura zao apate kushinda tena Miaka 5 ijayo.Na Akishinda tena hutomuona mpaka kipindi cha kampeni ya uchaguzi CCM Oyeeeeeeee
 
Wadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.

Kusema ukweli wakazi wa KATA hii tunapitia Changamoto nyingi sana kubwa kuliko ni UBOVU wa BARABARA zetu.

Tuliamini kutembelewa wa Mbunge tungesaidia kuziona Barabara zetu za Kata jinsi zilivyoharibika pia kujua Matatizo ya

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
😹😹
 
Hivi mtu mwenye akili unategemea mbunge atatue changamoto za barabara kwani anakusanya kodi? Anapewa bajeti ya kutengeneza barabara huku ni kutokuelewa majukumu ya mwakilishi na kiongozi.
 
Poleni wapiga kura

Mnapoteza usingizini wenu

Mnakaa kwenye foleni mnapigwa

Jua mnatoka mijasho mpk wengine

Kunuka vikwapa ,ili muwachaguee

Ova
 
Kuna Kijamaa kibonge kiligombea kipo hapo Manispaa ya Kigamboni kinaitwa Gundumu kama sikosei..kisenge sana hicho kijamaa
 
Hivi mtu mwenye akili unategemea mbunge atatue changamoto za barabara kwani anakusanya kodi? Anapewa bajeti ya kutengeneza barabara huku ni kutokuelewa majukumu ya mwakilishi na kiongozi.
👍👏🙏💐🎁🎖️🏆
 
mbunge alikuwa akimuogopa jpm sasa hivi kalala kabisa na bado mkuu wa wilaya mmeletewa mwanamke hafai kabisa kigamboni haina uongozi kwa sasa
 
Back
Top Bottom