UMESHA WAHI KUZIONA PETE ZA FREEMASONS KAMA HUJAWAHI BASI ZIKO HAPA ZITIZAMe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Je Umeshawai Kuziona Pete za Freemasons Kama Hujawai Basi Ziko Hapa Zitazame
 

Attachments

  • 4c07a3a18cc2d9f65488196e10e23fb7c177c076b49f22b5ba4e3d668519edc83a9e87328bdedf0ff9129bc33630a7e0.jpg
    4c07a3a18cc2d9f65488196e10e23fb7c177c076b49f22b5ba4e3d668519edc83a9e87328bdedf0ff9129bc33630a7e0.jpg
    118.1 KB · Views: 1,721
  • 4c07a3a18cc0d9f65488196e10e23fb7c177c076b49f22b58c597c71a913d1f36ac593328bddaf0cc629a1fd1e5ea7e0.jpg
    4c07a3a18cc0d9f65488196e10e23fb7c177c076b49f22b58c597c71a913d1f36ac593328bddaf0cc629a1fd1e5ea7e0.jpg
    42.5 KB · Views: 1,452
  • pete 1.jpg
    pete 1.jpg
    21.3 KB · Views: 1,588
  • pete2.jpg
    pete2.jpg
    35 KB · Views: 1,531
  • pete3.jpg
    pete3.jpg
    39.6 KB · Views: 1,409
  • pete 5.jpg
    pete 5.jpg
    4.7 KB · Views: 1,482
  • pete 6.jpg
    pete 6.jpg
    2.4 KB · Views: 3,100
  • pete7.jpg
    pete7.jpg
    5 KB · Views: 2,983
  • pete8.jpg
    pete8.jpg
    13.6 KB · Views: 1,349
  • pete9.jpg
    pete9.jpg
    5.1 KB · Views: 3,016
  • pete10.jpg
    pete10.jpg
    5.2 KB · Views: 1,240
  • pete11.jpg
    pete11.jpg
    7.7 KB · Views: 1,246
Mkuu huoni kama unawapa promo sasa, wengi twapenda utajiri jua
Pete za nyota yangu ya mshale Sagittarius hizi hapa nzuri na zenye faida kuliko hizo pete za mashetani .

NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS)

  • Hii ni nyota ya tisa katika mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 22 November na 21 December ya mwaka wowote.
  • Sayari yao ni Jupiter (Attarid).
  • Siku yao ya Bahati ni Alhamisi.
  • Namba yao ya Bahati ni 3.
  • Rangi yao ya Bahati ni Hudhurungi.
  • Asili yao ni MOTO.

NYOTA YA MSHALE MAWE YAKE.


Mawe haya yafuatayo yote ni mawe ya nyota ya Mshale na idadi yake ni Kumi 10. Yote yanatumiwa na mtu mwenye nyota ya Mshale kwa sababu mbalimbali.
Soma maelezo ya matumizi ya mawe haya hapa chini ili uweze kujua zaidi namna ya kuyatumia.

ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
TurquoiseLapis LazuliAzuriteAmber
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
DiamondOpalCookietQuartz
ImageProxy.mvc
ImageProxy.mvc
170px-TopazUSGOV.jpg
images
SeleniteHerkimer DiamondTopazUnakite

<tbody>
</tbody>


Turquoise (Feruzi)

"Jiwe linalounganisha mbingu na ardhi". Linaunganisha nguvu za Milki au Ufalme katika ngazi ya juu kabisa.
Linatengeneza njia ya elimu na ufahamu kwa anayelivaa kwa sababu ya utukufu wake. Jiwe hili vilevile linamlinda na kumbariki mvaaji na hutuliza akili na mwili.

Lapis Lazuli

Hili ni jiwe la "kurahisisha kipaji cha kutambua mambo". Lilitumiwa na Wamisri wa zamani kama kinga ya kuingia sehemu Takatifu.
Lina uwezo wa kutakasa mwili na akili na kuondoa uchafu wote unaosababishwa na Mashetani na Mizimu. Vilevile linakufanya uwe na uhusiano mzuri na watu na unazipa nguvu sehemu zako za kinga ya mwili.

Azurite
"Taa katika giza". Inaangaza katika giza la akili. Jiwe hili linauwezo wa kusafisha, kufanya upya, kuamsha fahamu na kuanzisha "akili za kimbingu" duniani.
Jiwe hili linauwezo wa kuanzisha nguvu ya kuona. Linasaidia kuponya koo, bandama na uti wa mgongo.
{mospagebreak}

Amber
"Dhihirisho". Jiwe la bahati nzuri, linaleta nguvu ya utakaso, nguvu za jua na kufyonza nguvu ya dunia na kutengeneza nguvu thabiti kwa mtumiaji.
Jiwe hili lina uwezo wa kutoa maradhi mwilini na kuuweka mwili katika hali nzuri. Linasafisha maudhi.

Cookeite

"Mganga wa Waganga". Hili ni jiwe la tiba. Lina uwezo wa kutuliza, kupoza na kusafisha dhamira mbaya na mawazo machafu.
Jiwe hili linahamasisha ushirikiano na kukufanya uwe na moyo mwepesi. Jiwe hili lina mvuto wa Malaika.

Opal
Hili ni jiwe linalomuwezesha mtu kupata maono mbalimbali. Linaongeza nguvu za kujua mambo kabla hayajatokea. Lina uwezo wa kumuonyesha mtumiaji mambo mengi yaliyojificha katika nafsi za watu, linavuta nguvu za utambuzi, na ubashiri.
Hili jiwe la Opal linamfunika mtumiaji kwa usiri, mambo ya siri na haiba kubwa. Jiwe hili lina uwezo wa kumsaidia mtumiaji kutoweka na kutokuonekana anapoamua kufanya hivyo.
Linatibu maambukizo mbalimbali, linaponya na kuwezesha macho kuona zaidi pia linasaidia katika kazi za umetaboli (uwezo wa mwili kusaga chakula)

Diamond
"Mfalme wa mawe yote". Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra unadhifu na nguvu. Linatokana na madini ya Carbon ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Jiwe hili linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu bora zaidi.
Jiwe hili linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (Maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi (diamonds) yamekuwa yakijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali.
Husawazisha umetaboli (hali ya ujenzi na uvunjaji wa kemikali mwilini) na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Selenite
"Jiwe la mchawi" Jiwe hili lina uwezo wa kukupa wewe mvaaji uwezo wa kujua matatizo ya mtu na kumtibu. Linasaidia na kusafisha uti wa mgongo na kutibu maradhi ya kigeugeu. Vile vile linatibu magonjwa yasiyotibika.

Quartz
Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza, malengo,kujirekebisha, kuhifadhi na na nguvu za kimwili na kiroho.
Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wao na kasi zao. Vile vile linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Unakite
Tiba ya kibinafsi. Jiwe hili linasawazisha hisia na linatumainisha Pendo Kuu.
Linatayarisha na kusaidia katika namna ya kuzaliwa upya na katika namna halisi ya kuzaliwa kwani jiwe hili lina uwezo wa kuchangamsha tiba ya njia ya uzazi na lina uwezo wa kufichua sababu za maradhi.

Topaz
"Jiwe la jua" linasaidia mtumiaji kuwaza na kutimiza ndoto zake. Jiwe hili linatoa joto na mwanga wenye nguvu za kisumaku za kuponya, kuondoa wasiwasi na mashaka, maumivu na maradhi.
Lina uwezo wa kuvuta mapenzi na mafanikio pia kuwasiliana na milki nyinginezo.
Linasaidia kuvunja kuganda kwa nguvu za mwili na katika kuondoa uchafu wa sumu katika mwili.

Herkimer Diamond

"Jiwe la ndoto" lina uwezo wa kufichua ukweli wa ndoto. Linampatia mtumiaji uwezo wa kujua mambo kabla hayajatokea. Pia lina uwezo wa kupeleka ujumbe wa upendo na uponyaji kwa mtu aliyembali (sehemu nyingine).
Jiwe hili linalinda dhidi ya mnururisho na linaondoa sumu mwilini.

Ukitaka Maelezo zaidi na jinsi ya kuyatumia na kuyavaa wasiliana na mimi kwa Email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza pia

kunitembelea blog yangu bonyeza hapa
http://mzizi-mkavu.blogspot.com.tr
 
Nawapa ng'ombe!
Hawakubali kupewa Ng'ombe hata kama unao NG'ombe Elfu 10 hawataki wanataka utoe chako cha damu yako Mama yako mzazi, au Mwanao unaye mpenda au ukubali wewe kwa muda fulani wakuuwe ndio watakupa huo utajiri wa Masharti je utaweza? ukiweza pia nitembelee blog yangu uweke Comment zako bonyeza hapa Mzizi Mkavu
 
Hawakubali kupewa Ng'ombe hata kama unao NG'ombe Elfu 10 hawataki wanataka utoe chako cha damu yako Mama yako mzazi, au Mwanao unaye mpenda au ukubali wewe kwa muda fulani wakuuwe ndio watakupa huo utajiri wa Masharti je utaweza? ukiweza pia nitembelee blog yangu uweke Comment zako bonyeza hapa Mzizi Mkavu

Duh aisee huo si ushaitwan kbs, hayo masharti magumu sana bora kulima tu

Nimeenda kwa blog yako, hongera sana
 
Duh aisee huo si ushaitwan kbs, hayo masharti magumu sana bora kulima tu

Nimeenda kwa blog yako, hongera sana
Asnte kaka uwe unanitembelea na kunipa Comment zako Utajiri wa Masharti sio Utajiri Utajiri wa Majini sio Utajiri Utajiri wa juhudi zako mwenyewe ndio utajiri. Utajiri ni juhudi zako za kuweza kubuni Biashara mbali mbali ukawezakufanikiwa huo ndio utajiri unaotakiwa sio utajiri wa haraka haraka hauna faida. Mshetani wakikupa Utajiri wamekupa mateso watakwambia masharti kibao ukishindwa kuyatekeleza wanakumaliza wanakutoa Roho yako sasa kuna faida gani wewe ukatolewa Roho na Mashetani?
 
Asnte kaka uwe unanitembelea na kunipa Comment zako Utajiri wa Masharti sio Utajiri Utajiri wa Majini sio Utajiri Utajiri wa juhudi zako mwenyewe ndio utajiri. Utajiri ni juhudi zako za kuweza kubuni Biashara mbali mbali ukawezakufanikiwa huo ndio utajiri unaotakiwa sio utajiri wa haraka haraka hauna faida. Mshetani wakikupa Utajiri wamekupa mateso watakwambia masharti kibao ukishindwa kuyatekeleza wanakumaliza wanakutoa Roho yako sasa kuna faida gani wewe ukatolewa Roho na Mashetani?
Umenena vyema sana mkuu, watu huwa tunajisahau as if unapoua mwenzako we utaishi milele
 
Umenena vyema sana mkuu, watu huwa tunajisahau as if unapoua mwenzako we utaishi milele

Tuachane na imani Potofu ya Utajiri wa haraka haraka kama Baadhi ya watu

huwaendea Waganga wa kienyeji ili watake kupata Utajiri wa haraka haraka baadhi ya Waganga

wa kienyeji Feki wanawaambia wateja wao wanaotaka Utajiri wa haraka haraka ,kuwa ukitaka kupata

Utajiri Eti leta mkono au Vidole vya

walemavu wa ngozi (Albino) ili nikupatie Utajjiri na huyu mtu anakwenda kweli kumkata Mlemavu

wa ngozi (Albino) mkono wake eti ili awe Tajiri ni upumbavu wa mwisho haswa huko mikoa ya

nyanda za juu hapo kwetu Tanzania watu wa namna hiyo wapo wengi sana wanaotaka Utajiri wa

uongo. Serikali iwachukulie hatuwa kali wale watu wanao wauwa Ma-Albino kwa sababu ya imani

ya kishirikina ikiwezekana wafungwe vifungo vya Maisha hao Waganga na wateja wao

wanaotaka Utajiri wa haraka haraka.
 
Back
Top Bottom