mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 17,119
- 53,123
Wawili wanatosha
kwa hali ya uchumi wa sasa ukitaka zaidi ya wawili labda uwe unaokota helaWawili, tena nitafurahi wakiwa twins
Wawili wanatosha
kwa hali ya uchumi wa sasa ukitaka zaidi ya wawili labda uwe unaokota helaWawili, tena nitafurahi wakiwa twins
Mkuu, nini faida ya kuendeleza ukoo mkubwa?? Adopt watoto kama Ulaya.Babu yangu alizaliwa peke yake kwa mama yake, baba yangu walizawa watatu, Mimi nimezaliwa peke yangu!
Kwa Sasa nina watoto wawili, hii kitu inanifikirisha sio kidogo, nabanwa na dini na tamaduni zetu hizi, lakini naazimia kabisa hii idadi ya watoto haitoshi hata kuielezea.
Hao wawili wamezaliwa kwa upausaji ,uwezekani wa kuongeza hata mmoja ni changamoto .
Naona ukoo unaporomoka kulekea chini, kwa vyovyote ni lazima nifanye isiyo kawaida.
Good!Kama mwanamke nimemlipia mahari, watoto atakaozaa wote ni wangu.
Lot of wadada mnapenda mapacha, cjui why
kwanini unasema hivi?Watoto ni mtaji
Hata mm natamani kuwa na watoto wengi sanaSalaam!
Mie binafsi wakati nipo 20s nilipanga kuwa na watoto 12 maishani mwangu. Kwa sasa nipo na early 40s ila nina watoto 3 na mama amesema imetosha hataki kabisa kusikia tunaongeza mtoto au ninamletea mtoto.
Kila nikifikiria ndani mwangu, nashuhudiwa natakiwa kuwa na 12 kids, ila ukiangalia kwa maisha yalivyo tight kwa kazi zetu za kuajiriwa na huku unapeleka kids shule za magari ya njano, unajikuta kinyoooonge unakubaliana na mama kuwa watatu wanatosha
Kuna rafiki angu wa same age, yeye plan yake ni watoto 17, mpk sasa ana 8 kids. Yeye njia yake tofauti kidogo, anasisitiza, idadi ya 17 ni lazima, watazaliwa na nani hilo halina mjadala. Alimuambia mkewe ana plan ya kuzaa watoto idadi hiyo, kama anaweza atabaki nae alone ila kama hawezi ajiandae kuletewa kids, mama alimzalia 4 kids akasepa. Now ana mke mwingine na kakubali masharti hayo but mtoto wa kwanza tu, kazaa kwa operation. Kitu kizuri ni kuwa, jamaa anawatunza vyema kids wake japo anawapeleka shule za Magu hizi za bure...
This life ni ngumu mpk linatunyima kutimiza malengo. Kids are good guys, zaeni zaeni mkaongezeke.
Watoto ni mtaji kwa familia na taifa.
NB: Hakikisha unawatunza vyema unaowaleta duniani. Lidunia ni kubwa sana hatujaenea kamwe!
JE, WEWE UMEPLAN KUZAA KIDS WANGAPI?
kwa hali ya uchumi wa sasa ukitaka zaidi ya wawili labda uwe unaokota hela
mkuu mie c mbinafsi, ningekua ivo I hope kwa umri wng ningekua na hata 7 sasa.
Anyway, hatufanani
Mpaka sasa nina pacha watat mara mbili na pacha wawili mara mbili watat wa mwanzo ni wa juu kwa juukwa hali ya uchumi wa sasa ukitaka zaidi ya wawili labda uwe unaokota hela
kwahiyo 10? pole na hongera😂 hauteseki?Mpaka sasa nina pacha watat mara mbili na pacha wawili mara mbili watat wa mwanzo ni wa juu kwa juu
nikija kuacha nyeto ntatafuta zangu mmoja au wawili😂Me sipendi watoto wengi, ila ningezaa mchana na jioni hizo mambo za uchumi zitajijua zenyewe
Mpaka mume angekimbia nyumba hao watoto ningemfyatulia
Unaijua mimba mdogo wangu au unaisikia?? Acha kabisa .unatapika hadi unatamani kutapika dunia yote yaani ovyo ovyo unajiskia.Wawili, tena nitafurahi wakiwa twins
nikija kuacha nyeto ntatafuta zangu mmoja au wawili
utanitafutia pisi kali😂 hauna mdogo wako?Unazaa na parachute au??
20 hio ni minimum mpaka sasa nna twins 1boy & 1girlJE, WEWE UMEPLAN KUZAA KIDS WANGAPI?