Umenuna SUMU chenji ya nini?@kongosho

mkuu BAGAH, umehamia wapi siku hizi? sikuoni kabisa..... nakuona kwa mbaaaaaaaali
 
Last edited by a moderator:
ivi kumbe nimeandika umenuna?...aisee...umenunua sumu bana...

Bora umetusahihishia namie ilinipa sintofahamu, then uki'make error kwenye heading kuirekebisha hua ni mziki , hata sijui kwa nini .
Mimi kuna siku nilikosea headin' kila nilivyokukuruka niirekebishe holaa! Ilinipregy!
 
Back
Top Bottom