Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 11,964
- 38,337
"we nenda Kijijini ngoja mi nipambane hapa mjini nikimulikiwa tochi na mtoa riziki takuja kukuchukua"
sauwaSipajui shamba
we ulifaa ukae shamba kabisaKitu Kilicho tumika, kina faa kutupwa! 🤔🤔,
Mi nahisi Alikosea kuoa mtu aliye tumika 😎😎.
kiruHuko ndo kuoa kwenyewe, unampangia pa kwenda kukaa.
sijui aseeSamahani... hiv wew ni mwanasheria... HAKI SAWA KWA WOTE SIO HAKI
mwanaumeKuna mwanamke mmoja analalamika hafikishwi kileleni. Sijui kati ya mwanaume au mwanamke nani anamtumia mwenzake hapo?
Wanaume Tuko Furesh, Kwani Vipi?Jaman wanaume mnaitwa huku
Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa
Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba
Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi?
Wanaume mkoje lakini??
ROHO MBAYA HIIOOO"we nenda Kijijini ngoja mi nipambane hapa mjini nikimulikiwa tochi na mtoa riziki takuja kukuchukua"
hujaliwa wewe lakin?huu uzi unanihusu mimi au alietuma kero?
sauwaWanaume Tuko Furesh, Kwani Vipi?
ongeza sauti hatujakuelewaKosa la wadada wanapo pataka sio asilimia kubwa.
Sina pesa tafanyaje chaliangu we nenda kikatiti mi ngoja nibebe maboksi hapa Kwa Biden 🤣ROHO MBAYA HIIOOO
Labda kupaka rangi, saidia fundi e. t. cWe unadhani amemtumiaje?
asieeSina pesa tafanyaje chaliangu we nenda kikatiti mi ngoja nibebe maboksi hapa Kwa Biden 🤣
okLabda kupaka rangi, saidia fundi e. t. c
Ungesema wametumiana kwasababu hilo hitaji ni universal kuanzia bacteria mpaka dainasooMmemtumia dada WA watu
Wanachagua sio asilimia za magazijuto wanacho kitalajiaongeza sauti hatujakuelewa
umemchakata nani?Humu ndo sehemu ya kuleta matokeo sio? Wakati wa kuchakatwa kimyaaaa