wewe mama nakupenda sana, Mungu akubariki mnoPole sana. msiba uko wapi mkuu.
Na mimi niamkie.
Me Kingwangwa.
wewe mama nakupenda sana, Mungu akubariki mno
oh pole sana Kigarama mimi mwenyew nilidhani ni shairi,kumbe ni kweli umefiwa!i see wat a loss,kijana wa kutegemewa kiasi hicho pole sana mkuu!Mungu atakusaidia akupe rehema ya kulipokea hili kwa imani!
ndo nnachokupendea rafiki wewe, big up sana.Asante sana kwa kuwa unanipenda my baby,
me love you more my baby girl.
Tumtafute mwenzetu tukalie naye,
sijui atakuwa bongo, ngoja afunguke.
acha longo longo, amkia Madame BTena ukome.
Niamkie mtu ambaye hata kuvunja ungo ameshindwa?
mmmmh!!unampenda sana huyu mama!!!!wewe mama nakupenda sana, Mungu akubariki mno
aaaaaaaaaah!huyu anaweza kujitegemea wala haitaji kujiunga na mtu!!Pole sana ila hata hivyo mtafute tu Mrisho mpoto
mfanye kazi naye maana ............
yes, nampenda sana. kwani kuna shida kumpenda mama?mmmmh!!unampenda sana huyu mama!!!!
nilitaka kujua tu!!natamani ungekuwa unanipenda na mimi hivyo!!!yes, nampenda sana. kwani kuna shida kumpenda mama?
yes, nampenda sana. kwani kuna shida kumpenda mama?