Umenipata Msiba!!

Ciello na nitonye nimefiwa kweli na mtoto mwenye miaka 30. sisi wengine kila kitu cha hisia kinaelezeka vizuri kwa ushairi!! Kwani na sisi washairi hatufiwi kama wanamuziki ambao wao hutumia muziki kuelezea hisia zao?
Pole sana ndugu yetu Kigarama! Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi, Amen!
 
Last edited by a moderator:
Ciello na nitonye nimefiwa kweli na mtoto mwenye miaka 30. sisi wengine kila kitu cha hisia kinaelezeka vizuri kwa ushairi!! Kwani na sisi washairi hatufiwi kama wanamuziki ambao wao hutumia muziki kuelezea hisia zao?
oh pole sana Kigarama mimi mwenyew nilidhani ni shairi,kumbe ni kweli umefiwa!i see wat a loss,kijana wa kutegemewa kiasi hicho pole sana mkuu!Mungu atakusaidia akupe rehema ya kulipokea hili kwa imani!
 
Last edited by a moderator:
Kigarama!pole sana kaka,Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu!!pole tena!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Mungu akupe faraja na nguvu wakati huu mgumu....raha ya milele umpe bwana na mwanga wa milele umwangazi apumzike kwa amani. AMINA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom