umemsikia huyu chizi

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
chizi mmoja alikuwa amekaa ufukukweni mwa bahari akiwaza ,jamaa mmoja akamuuliza unawaza nini?chizi akamjibu nawaza kama haya maji ya bahari yangekuwa supu sijui ningeinywa na chapati ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom