Umeme unaozalishwa na Solar Panel unatosha?

cyber ghost

JF-Expert Member
May 8, 2015
239
158
Kumekuwa na maneno mengi mitaani juu ya umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua watu wengi wakisema ni umeme mdogo na hautoshi.Fikra hizi si za kweli, umeme unaozaliswa na solar panels unatosha sana hasa hasa kwa nchi nyingi za afrika ambapo masaa ya jua ni kati ya masaa 5 hadi 7 jua ambalo linaweza kuzalisha umeme katika viwango vya STC(Standard Test Conditions). Tatizo kubwa linakuja kwamba kufunga solar system ambayo itafanya kazi OFF GRID ni gharama kubwa kutokana na ukweli kwamba unahitajika kuwa na betri zitakazoweza kuhifadhi nishati ya jua inayokusanywa na solar panels wakati wa mchana kuja kutumika wakati itakapohitajika na nyakati za usiku, gharama za betri nzuri za solar zipo juu sana kwahiyo watu wengi wamekuwa wakinunua betri ndogo tuu wanazoweza kuzimudu kwa bei halafu wanataka ziwawezeshe kuendesha vifaa vyao kwa muda mrefu ila wanajikuta baada ya muda mfupi tuu betri limeisha chaji na kuanza kusema umeme wa solar hautoshi, pia wapo wengine wamekuwa wakifunga solar panels ndogo lakini wanaweka betri lenye capacity kubwa nao pia hupata tatizo lile lile la betri kuisha ndani ya muda mfupi. So kwa ufupi kuamua kufunga solar system ambayo ni off grid system gharama yake ni kubwa kwenye standard house than on grid solar system. Zipo aina nyingi sana za ufungaji wa solar pv systems,
1:eek:ff grid solar pv system
-off grid with batteries
-off grid without batteries
2:grid tied solar pv system
- grid tied with batteries
- grid tied without batteries
3:hybrid solar pv system
So utaona system ambayo ni maharufu sana sehemu nyingi hasa hasa sehemu ambazo hakuna umeme wa grid ni off grid solar pv system.
Leo nitajaribu kuelezea power iloandikwa kwenye solar panel inamaana gani? Wapo watu wengine hulalamika kwamba amefunga panel kubwa lakini bado haiwezi kuchaji betri lake vizuri, power iloandikwa kwenye solar panel ni power ambayo ipo katika viwango vya STC( solar irradiance 1000w/m², air mass 1.5 na temperature 25°C) so kwa mfano una solar panel ya 160watts,hii panel itazalisha 160watts endapo miale ya jua inayofika kwenye surface ya panel yako ni 1000watts/m² na air mass ni 1.5 na joto liwe 25°C, so utaona at NOCT(Normal Operating Cell Temperature) ni vigumu kuweza kupata maeneo ambayo joto muda wote litakuwa 25°C na miale ya jua iwe 1000w/m² so sehemu nyingi hizi parameters huwa zinabadilika mara kwa mara kwahiyo huwezi kupata output power iloandikwa kwenye solar panel yako ingawa kwa sasa kuna baadhi ya vifaa vya solar vinakuja na ATC(Automatic Temperature Compensation Technology) ila bado ni mpya havijaenea sehemu nyingi.
So unapodesign solar PV system unatakiwa uhusishe vitu kama vitatu vikuu;
1:Derating due to manufacturer's output tolerance
2:Derating due to dirt
3:Derating due to temperature (NOCT)

A: MANUFACTURERS
Output ya solar pv panel inatambulishwa kwa power ambayo imepimwa kwenye joto la 25°C ila kwenye name plate ya solar pv panel watengenezaji wengi wa solar panels huwa wanaandika output tolerance ya panel zao huwa +/-5% ila zipo nyingine zimeandikwa +/-3% so wakati unadesign system yako nilazima uihusishe hiyo factor kwenye mahesabu yako, so kwa mfano wa panel yetu ya 160W tukifanya derating of 5% (160W×0.95=152watts)

B:DIRT FACTOR
Output ya solar pv module pia inapungua endapo uchafu utakuwa juu ya kioo cha panel yako, kama utakuwa hauna uhakika wa kufanya usafi kwenye panels zako kwa muda unaotakiwa labda unahisi unaweza ukajisahau zile siku za kusafisha panel zako zikapitiliza an acceptable derating would be 5%, so utapunguza 5% kutoka kwenye ile power ambayo tulisha ipunguza kulingana na manufacturers tolerance ambayo ni (152W×0.95=144.4W)

C: TEMPERATURE (NOCT)
Solar panel output power itapungua endapo joto litazidi 25°C na itaongezeka sehemu ambazo joto lake litakuwa chini ya 25°C.
NOCT= ambient temp + 25°C
Pia hapa watu wengi hufanya makosa kwa kuilaza solar panel direct juu ya bati, hii itasababisha joto kwenye cells za module yako kuongezeka kutokana na jua linavyopiga kwenye bati hulifanya bati kupata moto sana so kama umeilaza panel yako kwenye bati nayoitapata joto kali linalotoka kwenye bati hivyo kupunguza voltage ya solar panel yako nakupelekea output power ya solar pv panel kupungua kutokana na (watts=volts×amps), so unashauriwa kuitengenezea stand solar panel yako kamaunaifunga juu ya bati ili kuwezeshe mzunguko wa hewa ili kuziweka solar cells at low temperature .
So derating factor ya joto inatofautiani kati ya aina za solar pv panels.

MONOCRYSTALLINE MODULES
Solar panels aina ya monocrystalline zenyewe zinakuwa na temperature coefficient of -0.45%/°C. Kwahiyo kwa joto lolote litakalozidi 25°C solar panel ya mono itakuwa derated by 0.45%.

POLYCRYSTALLINE MODULES
Solar panels aina ya poly zinakuwa na temperature coefficient ya -0.5%/°C.

Now lets assume ambient temperature kwa morogoro ni 30°C, so the effective cell temperature =30°C+25°C=55°C
So, utaona hili ninongezeko la joto la nyuzi 30 zaidi ya STC temperature ya 25°C. Assume ile panel ya 160W ni polycrystalline module ambayo derating yake ni -0.5%/°C, so temperature loss itakuwa 30°C×0.5%/°C=15%loss
Lakini baada yakupunguza kutokana na factor ya uchafu power ilobaki ilikuwa ni 144.4W sasa ikiwa derated due to temperature (144.4W×0.85=122.7W) so utaona solar module ya 160W at STC itakuwa na power ya 122.7W ambayo ndio actual power on site.
Kwahiyo wengi wanaolalamika kwamba power ya solar haitoshi huwa hawafuati hii misingi ya kudesign solar pv system ndio maana wanaishia kusema nimefunga solar panel kubwa lakini bado haiwezi kuchaji betri vizuri kumbe yeye anaangalia STC power na sio actual power inayotoka kwenye panel yake kulingana na sehemu husika alipo.pia kiuhalisia watu wengi hawazioshi solar panels zao mara kwa mara baada yakuziweka kwenye rooftop.
NB:
1:unapofanya solar pv sizing na ukapata size ya panel inayotakiwa hiyo huwa ni minimum size kama unauwezo kipesa mzuri ni vizuri uka oversize by 20-30%.
2:pia unapofanya solar pv sizing ni lazima uhusishe losses due to cables, charge controllers, batteries and inverters ambapo vitu hivi kwa pamoja ndio vinaunda kitu kinaitwa BALANCE OF SYSTEM.
 
Umeandika vitu vya msingi,Ila kiukweli uandishi na mpangilio hauvutii.
Jaribu ata kuweka aya mkuu.
Wewe utakua una tatizo lako binafsi mkuu...
Kiongozi kajitahidi sana kaongea concept za kutosha hata mtiririko wake na flow of material iko vizuri.
After all this is all about science and electronics in particular kiongozi hakua anashuka mashairi au insha kwamba arembe kufuatana na nadharia za mtindo na muundo.
 
Big up sana kiongozi mleta mada..
Umetupa mwanga mkubwa sana watumiaji wa Solar.
Nilivyoanza kusoma article yako nikajua ni kama zile zinazoishia na kwa msaada zaidi tuonane inbox kwa bei nafuu. Lakini haikua hivyo ume share knowledge openly, ubarikiwe. Binafsi ntafuata ushauri huo katika matumizi ya vifaa vya Solar.
Zidi ku share zaidi mkuu, Knowledge is power.
 
Wewe utakua una tatizo lako binafsi mkuu...
Kiongozi kajitahidi sana kaongea concept za kutosha hata mtiririko wake na flow of material iko vizuri.
After all this is all about science and electronics in particular kiongozi hakua anashuka mashairi au insha kwamba arembe kufuatana na nadharia za mtindo na muundo.
Tatizo lako sijui ni kwamba hujanielewa au tu wataka uonekane unajua. Sija critisize content aliyoiandika,kaandika vitu vya msingi na nmemwambia hivyo.
Ila katika kuwasilisha kazi yake haina mvuto na nikatoa na ushauri pia afanyeje. Sasa kuchangia namna ya kuboresha kazi yake pia inaonesha ninatatizo? Tujitahidi kuelewa jamani na si kila anayekosoa basi anachuki.
 
Sawa mkuu, naheshimu mawazo yako.
Ila kwa upande wangu hata mtiririko wake naona uko safi ,
Kafanya vyema katika introductory phase kapanga kazi yake in sections na ka conclude vizuri.
NB
Mimi sio mtaalam wa sanaa ya maandishi, ila kwa msaada zaidi na ngoja wataalam waje.
 
Nimefanya wiring ya nyumba ya mama kijijini ambapo kutokana na kutokuwepo umeme karibu nimeopt kumwekea umeme wa Solar. Kipindi fulani tuliwafuata hawa wataalam wa ENSO kupata mwongozo na kujua bei zao za vifaa ambapo baada ya maongezi marefu waltuambia haya yafuatayo:-
1. Wiring yetu tulitumia wire wa 1.5 badala ya 2.5 hivyo system yetu inaweza isifanye kazi vizuri ipasavyo kwani umeme mwini utapotea (Taa zinaweza kuwa zinaungua mara kwa mara)
2. Walishauri tununue Invetor kubadili umeme wetu wote toka DC kwenda DC
Mimi siyo mtaalam hivyo naomba yeyote anayeweza kutoa ushauri wa nyongeza anipatie nami nitaupokea kwa unyenyekevu. Pia nahitaji kupata mwongozo wa wapi naweza kununua vifaa genuine vya Solar kwa bei nafuu.

Ahsante
 
DC to ac
 
Kumekuwa na maneno mengi mitaani juu ya umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua watu wengi wakisema ni umeme mdogo na hautoshi.Fikra hizi si za kweli, umeme unaozaliswa na solar panels unatosha sana hasa hasa kwa nchi nyingi za afrika ambapo masaa ya jua ni kati ya masaa 5 hadi 7 jua ambalo linaweza kuzalisha umeme katika viwango vya STC(Standard Test Conditions). Tatizo kubwa linakuja kwamba kufunga solar system ambayo itafanya kazi OFF GRID ni gharama kubwa kutokana na ukweli kwamba unahitajika kuwa na betri zitakazoweza kuhifadhi nishati ya jua inayokusanywa na solar panels wakati wa mchana kuja kutumika wakati itakapohitajika na nyakati za usiku, gharama za betri nzuri za solar zipo juu sana kwahiyo watu wengi wamekuwa wakinunua betri ndogo tuu wanazoweza kuzimudu kwa bei halafu wanataka ziwawezeshe kuendesha vifaa vyao kwa muda mrefu ila wanajikuta baada ya muda mfupi tuu betri limeisha chaji na kuanza kusema umeme wa solar hautoshi, pia wapo wengine wamekuwa wakifunga solar panels ndogo lakini wanaweka betri lenye capacity kubwa nao pia hupata tatizo lile lile la betri kuisha ndani ya muda mfupi. So kwa ufupi kuamua kufunga solar system ambayo ni off grid system gharama yake ni kubwa kwenye standard house than on grid solar system. Zipo aina nyingi sana za ufungaji wa solar pv systems,
1:eek:ff grid solar pv system
-off grid with batteries
-off grid without batteries
2:grid tied solar pv system
- grid tied with batteries
- grid tied without batteries
3:hybrid solar pv system
So utaona system ambayo ni maharufu sana sehemu nyingi hasa hasa sehemu ambazo hakuna umeme wa grid ni off grid solar pv system.
Leo nitajaribu kuelezea power iloandikwa kwenye solar panel inamaana gani? Wapo watu wengine hulalamika kwamba amefunga panel kubwa lakini bado haiwezi kuchaji betri lake vizuri, power iloandikwa kwenye solar panel ni power ambayo ipo katika viwango vya STC( solar irradiance 1000w/m², air mass 1.5 na temperature 25°C) so kwa mfano una solar panel ya 160watts,hii panel itazalisha 160watts endapo miale ya jua inayofika kwenye surface ya panel yako ni 1000watts/m² na air mass ni 1.5 na joto liwe 25°C, so utaona at NOCT(Normal Operating Cell Temperature) ni vigumu kuweza kupata maeneo ambayo joto muda wote litakuwa 25°C na miale ya jua iwe 1000w/m² so sehemu nyingi hizi parameters huwa zinabadilika mara kwa mara kwahiyo huwezi kupata output power iloandikwa kwenye solar panel yako ingawa kwa sasa kuna baadhi ya vifaa vya solar vinakuja na ATC(Automatic Temperature Compensation Technology) ila bado ni mpya havijaenea sehemu nyingi.
So unapodesign solar PV system unatakiwa uhusishe vitu kama vitatu vikuu;
1:Derating due to manufacturer's output tolerance
2:Derating due to dirt
3:Derating due to temperature (NOCT)

A: MANUFACTURERS
Output ya solar pv panel inatambulishwa kwa power ambayo imepimwa kwenye joto la 25°C ila kwenye name plate ya solar pv panel watengenezaji wengi wa solar panels huwa wanaandika output tolerance ya panel zao huwa +/-5% ila zipo nyingine zimeandikwa +/-3% so wakati unadesign system yako nilazima uihusishe hiyo factor kwenye mahesabu yako, so kwa mfano wa panel yetu ya 160W tukifanya derating of 5% (160W×0.95=152watts)

B:DIRT FACTOR
Output ya solar pv module pia inapungua endapo uchafu utakuwa juu ya kioo cha panel yako, kama utakuwa hauna uhakika wa kufanya usafi kwenye panels zako kwa muda unaotakiwa labda unahisi unaweza ukajisahau zile siku za kusafisha panel zako zikapitiliza an acceptable derating would be 5%, so utapunguza 5% kutoka kwenye ile power ambayo tulisha ipunguza kulingana na manufacturers tolerance ambayo ni (152W×0.95=144.4W)

C: TEMPERATURE (NOCT)
Solar panel output power itapungua endapo joto litazidi 25°C na itaongezeka sehemu ambazo joto lake litakuwa chini ya 25°C.
NOCT= ambient temp + 25°C
Pia hapa watu wengi hufanya makosa kwa kuilaza solar panel direct juu ya bati, hii itasababisha joto kwenye cells za module yako kuongezeka kutokana na jua linavyopiga kwenye bati hulifanya bati kupata moto sana so kama umeilaza panel yako kwenye bati nayoitapata joto kali linalotoka kwenye bati hivyo kupunguza voltage ya solar panel yako nakupelekea output power ya solar pv panel kupungua kutokana na (watts=volts×amps), so unashauriwa kuitengenezea stand solar panel yako kamaunaifunga juu ya bati ili kuwezeshe mzunguko wa hewa ili kuziweka solar cells at low temperature .
So derating factor ya joto inatofautiani kati ya aina za solar pv panels.

MONOCRYSTALLINE MODULES
Solar panels aina ya monocrystalline zenyewe zinakuwa na temperature coefficient of -0.45%/°C. Kwahiyo kwa joto lolote litakalozidi 25°C solar panel ya mono itakuwa derated by 0.45%.

POLYCRYSTALLINE MODULES
Solar panels aina ya poly zinakuwa na temperature coefficient ya -0.5%/°C.

Now lets assume ambient temperature kwa morogoro ni 30°C, so the effective cell temperature =30°C+25°C=55°C
So, utaona hili ninongezeko la joto la nyuzi 30 zaidi ya STC temperature ya 25°C. Assume ile panel ya 160W ni polycrystalline module ambayo derating yake ni -0.5%/°C, so temperature loss itakuwa 30°C×0.5%/°C=15%loss
Lakini baada yakupunguza kutokana na factor ya uchafu power ilobaki ilikuwa ni 144.4W sasa ikiwa derated due to temperature (144.4W×0.85=122.7W) so utaona solar module ya 160W at STC itakuwa na power ya 122.7W ambayo ndio actual power on site.
Kwahiyo wengi wanaolalamika kwamba power ya solar haitoshi huwa hawafuati hii misingi ya kudesign solar pv system ndio maana wanaishia kusema nimefunga solar panel kubwa lakini bado haiwezi kuchaji betri vizuri kumbe yeye anaangalia STC power na sio actual power inayotoka kwenye panel yake kulingana na sehemu husika alipo.pia kiuhalisia watu wengi hawazioshi solar panels zao mara kwa mara baada yakuziweka kwenye rooftop.
NB:
1:unapofanya solar pv sizing na ukapata size ya panel inayotakiwa hiyo huwa ni minimum size kama unauwezo kipesa mzuri ni vizuri uka oversize by 20-30%.
2:pia unapofanya solar pv sizing ni lazima uhusishe losses due to cables, charge controllers, batteries and inverters ambapo vitu hivi kwa pamoja ndio vinaunda kitu kinaitwa BALANCE OF SYSTEM.
Madini!
 
Write a book about that stuff and I will buy it.
 
Back
Top Bottom