UMEME: Tanesco, Ngeleja OMBENI MSAMAHA Kwa KAKOBE

SERIKALI IANZISHE NJIA NYINGINE ZA KUZALISHA UMEME EG: UPEPO, GESI NA SAMADI PIA IFUNGE MITAMBO YA KISASA YA UFUAJI WA UMEME KWA NJIA YA MAJI NA WASIMAMIE KWA MAKINI SN SHUGHULI ZOTE ZINAZOHUSIANA NA UMETE TATIZO LIKIENDELEA KUWEPO HAKIKA NITAAMINI KWELI KAKOBE ni NABII WA MUNGU NA UNABII WAKE UMETIMIA
 
jana nimesikitika kweli kweli, kuna watu wanatufanyia hujuma hii si kawaida. Serikali ilileta mitambo ya megawati 100 ikitegemea gesi toka songosongo kuendesha hiyo mitambo. jana wamiliki wa Songosongo wanasema hakuna gesi ya kuendesha hiyuo mitambo mpaka kisima kingine kichimbwe ambayo ni kazi ya miezi 14 yaani mpaka 2012 sasa wadau hivi tunachezewa akili!! tunafanyiwa sanaaa au???
 
Tuhujumiwe na nani mwingine zaidi ya viongozi wetu tulio wachagua sisi wenyewe!!
 
Kwa ufahamu wangu kuhusu Neno la Mungu,Mungu anaweza kuangamiza dunia nzima kwa kosa la mtu mmoja bila hata kuangalia hao watu wana umri gani au walihusika vipi, Kwa mfano Adam na Hawa walipotenda dhambi ni wao walitenda kabla hata sisi hatuja zaliwa lakini neno la Mungu katika WARUMI 5:12 INASEMA, Kwa hiyo kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti, na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi.WARUMI 5:18 - 19INASEMA, Basi tena kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima,kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wengi waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki. Kwahiyo KIONGOZI MMOJA KATIKA WIZARA YAKE ATAKAPOFANYA KOSA LA KUMDHARAU MUNGU ATAKUWA AMEIWAKILISHA SERIKALI NA TAIFA KWA UJUMLA mapigo yakishuka ni wote.BIBLIA NI HAI BADO INAISHI HATA LEO ASIYE AMINI HAYA KIMSINGI HAJUI BIBLIA, UKISOMA UTAONA JINSI AMBAVYO MUNGU HUACHIA HASIRA KWA MATAIFA AMBAYO VIONGOZI WAKE WALIMKOSEA MUNGU KANA KWAMBA WAO WAMEJIUMBA.
 
Kwa ufahamu wangu kuhusu Neno la Mungu,Mungu anaweza kuangamiza dunia nzima kwa kosa la mtu mmoja bila hata kuangalia hao watu wana umri gani au walihusika vipi, Kwa mfano Adam na Hawa walipotenda dhambi ni wao walitenda kabla hata sisi hatuja zaliwa lakini neno la Mungu katika WARUMI 5:12 INASEMA, Kwa hiyo kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti, na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi.WARUMI 5:18 - 19 INASEMA, Basi tena kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima,kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wengi waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki. Kwahiyo KIONGOZI MMOJA KATIKA WIZARA YAKE ATAKAPOFANYA KOSA LA KUMDHARAU MUNGU ATAKUWA AMEIWAKILISHA SERIKALI NA TAIFA KWA UJUMLA mapigo yakishuka ni wote.BIBLIA NI HAI BADO INAISHI HATA LEO ASIYE AMINI HAYA KIMSINGI HAJUI BIBLIA, UKISOMA BIBLIA UTAONA JINSI AMBAVYO MUNGU HUACHIA HASIRA KWA MATAIFA AMBAYO VIONGOZI WAKE WALIMKOSEA MUNGU KANA KWAMBA WAO WAMEJIUMBA.
 
kuna wakati huwa nawaza hivi: Mungu wa kwenye misahafu huwa ni mwehu!
 
Dah.....hivi Mungu yupo mmoja kweli?! Hili la kutowaka umeme kama nakumbuka vizuri kakobe mwenyewe alishalikanusha...kwamba hakusema hautowaka!
 
jana nimesikitika kweli kweli, kuna watu wanatufanyia hujuma hii si kawaida. Serikali ilileta mitambo ya megawati 100 ikitegemea gesi toka songosongo kuendesha hiyo mitambo. jana wamiliki wa Songosongo wanasema hakuna gesi ya kuendesha hiyuo mitambo mpaka kisima kingine kichimbwe ambayo ni kazi ya miezi 14 yaani mpaka 2012 sasa wadau hivi tunachezewa akili!! tunafanyiwa sanaaa au???

Hakuna wa kutuhujumu,tunajihujumu kwa kukosa maarifa
 
Huyu mtumishi Kakobe, alizungumza kwa maneno yake kabisa kuwa kwa tukio la Ngeleja na Tanesco Nchi itakuwa Giza.. Yaani hakuna UMEME... na mengineyo. Na huu ni Mwanzo tu.
Ngeleja nenda hata kisiri kaombe msamaha.. Akikataa kisiri poa tu, hata ikitangazwa inadhuru nini wajameni.

bana wewe ...... hapa ni home of great thinkers huwezi kutuongopea laana ya kakobe ndio Maana hakuna umeme.. while tunaona mabwawa makavu mvua ukanda wa Africa mashariki za kubahatisha, hebu njoo na mawazo mbadala tufanye alternative gani kuepukana na umeme wa kutegemea mabwawa ..
 
Yule Mzee hana lolote, mchawi tu.


Mimi napita tu! Hata hivyo, ndugu yangu, chunga ulimi wako; yasije yakakukuta, yaliyowakuta akina Luhanjo, Ngeleja, Malima, Jairo na Mrindoko. Katika sakata hili, hawa nao walisema ovyo, hivyohivyo!
 
Maandiko yanasema" Mimi ni bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza maovu ya baba zao wote wanaoziasi amri zangu na kuwarehemu maelfu elfu wazitendao na kuzishika amri zangu''
Neno litatimia, Ngeleja ataondoka, na atakae teuliwa karibuni, atarudi nyuma na kusahihisha kiburi na hila za Ngeleja na Malima
 
bana wewe ...... hapa ni home of great thinkers huwezi kutuongopea laana ya kakobe ndio Maana hakuna umeme.. while tunaona mabwawa makavu mvua ukanda wa Africa mashariki za kubahatisha, hebu njoo na mawazo mbadala tufanye alternative gani kuepukana na umeme wa kutegemea mabwawa ..

Iweje uanze kufikiria Alternative nyingine wakati mradi mpya wa 132Kv Kwa Kakobe haujazinduliwa? Tar 7 march 2010, Ngeleja alisema Askof Kakobe amechelewesha umeme huo kwa siku 77 na mradi huo ulipangwa kuzinduliwa na Rais Kikwete Sept 2010.Sasa leo ni 20 dec. 2011 umeme haujazinduliwa na Kikwete na bado wanaendelea na ukarabati wa Nguzo kwa Kakobe!Hivi wewe ni great thinker au...!Unawezaje kuhamia mradi mwingine bila kutathimini mradi uliopo kumbuka mradi huo umegharim 60bils
 
Ngeleja ndiye anajua nini kinaendelea pale na Mkurungez TANESCO anafahamu ndio maana wanahaha kufanya matengenezo.Serikali haiamini Uchawi lakini Kikwete akianguka anakimbilia Bagamoyo badala ya kuwaona viongozi wa dini!
 
Back
Top Bottom