umeme sasa tishio!!!

Diana Joseph

Member
Jul 22, 2011
11
1
Duh jamani ndugu zangu umeme huu sasa umekua tishio kubwa katika nchi yetu, sijui tufannyenini ndugu zangu!!!
 
Duh jamani ndugu zangu umeme huu sasa umekua tishio kubwa katika nchi yetu, sijui tufannyenini ndugu zangu!!!

Hujui ufanyeje? Andaa Watu waingie Mitaani kwa Maandamano, haki haiombwi inapiganiwa. Je upo Tayari kuipigania haki yako kama upo Tayari tuingieni mitaani kuwafukuza Mafisadi
 
Hujui ufanyeje? Andaa Watu waingie Mitaani kwa Maandamano, haki haiombwi inapiganiwa. Je upo Tayari kuipigania haki yako kama upo Tayari tuingieni mitaani kuwafukuza Mafisadi
Nakusapot? Tuanze? lin la sivyo mwez huu kale ka nyumba ndogo itabid kapigwe pending kwenye budget
 
Watanzania mazuzu unafikiri watafanya nini! Hii hali hadi 2015..yani mimi umeme bila kukatika sisikii raha siku hizi.
 
Tunateseka ati!uwiiiiiiiiiiiiitwafa
Jamani umaskini uwooooooo!!!!
 
Yule Kikwete kishasema kwamba matatizo yetu ya umeme yanasababishwa na ukame :( :( :(hivyo tusubiri mvua ambazo zinasemekana zitaanza October mwaka huu, kama ukame ukiendelea basi nchi itaendelea kuwa gizani.
 
Mimi nilipo mbona hakuna mgao? umeme fulltime, kila baada ya masaa 72 tunapewa umeme kwa masaa 4 tu. Friji tunaweke vyombo siku hizi. nanunua umeme wa luku wa sh 10,000/= natumia miezi 3 wakati kawaida nilikuwa natumia kwa siku 15 mpaka 20.
KIDUMU CHA CHA MAPINDUZI ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM, CCM OYEEEEEEE. MAGAMBA JUUUU ZAIDI.
 
Yule Kikwete kishasema kwamba matatizo yetu ya umeme yanasababishwa na ukame :( :( :(hivyo tusubiri mvua ambazo zinasemekana zitaanza October mwaka huu, kama ukame ukiendelea basi nchi itaendelea kuwa gizani.
.

Weweee huo si ukame wa mvua, ni ukame wa fikra, nchi yenye miaka 50 ya uhuru bado tunategemea mvua? upuuzi mtupu, wala haiingii akilini, wanatafuta vijisababu tu, wakawadanganye wake zao na watoto zao. TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA,
 
jamani,mi sijui kwanini napenda umeme usiwepo kabisa tujue moja,hamna mtu anaweze kuizima mitambo yote
 
Duh jamani ndugu zangu umeme huu sasa umekua tishio kubwa katika nchi yetu, sijui tufannyenini ndugu zangu!!!

Unachoweza kufanya ni;
  1. Nunua generator lifunge nyumbani kwako
  2. Tengeneza windmills kisha weka Nyumbani kwako
  3. Zungusha baiskeli kama wafanyavyo wanoa Visu na mapanga ambayo utaunganisha na alternetor ya gari ili kucharge battery ambayo utaunga kwenye invetor kisha kukupatia umeme
  4. nunua solar power
  5. weka battery za Radio kwenye shimo la choo au chemsha then weka kwenye Radio yako
Watanzania bado tunamawazo ya kusubiri umeme wa TANESCO ambayo imezidiwa, RICHMOND/DOWANS walikuwa wanaisaidia tu TANESCO ili waTZ wasichonge sana kwani hawana uwezo tena wa kuzalisha umeme wa kuwatosha waTZ na kitendo cha kuwafukuza/kujiuzulu kwa EL, NK, Msabaha kilikuwa ni kitendo cha UONEVU busara haikutumika ukilinganisha na Tatizo upungufu wa Umeme walionao TANESCO

EL arudishiwe uPM wake.........................................
 
mi hata sitaki kabisa nione taa ikiwaka nashikwa na hasira na zima nawasha candle!!!! kwani najua dakika 1 unakatika ... sasa kwanini nijipe tabu kwa kweli this is tooooo!!! much .. twateseka sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom