Umelazimishwa

Kwa size ya huyo dada hawezi kumkunja hako kadume... I don't know why, wanaume vimbaumbau, vibushuti duuuh wananikosesha stimu kabisa!
 
Nilishawahi kusikia kuwa ukitwanga nusu uchi, inazidisha ladha, hapa naona mama anatwaga na sidiria.
 
ivi mieleka WWE wanakataza ku try at home... sasa mbona kama huyu mama na haka kajamaa wanapigana try at HOme
 
Inawezekana wanaigiza ngumi za kweli khanga na hizo kandambili vingeshasambaratika.Au ndio jamaa anafanya mazoezi ya kuwa Askari wa TZ
 
Jamaa mwenye kikombe cha blue,anaendelea kupata uji ama chai yake bila hata kujishughulisha kuokoa!!Haya yatakuwa maigizo!!!
 
Inanikumbusha mbali sana enzii za marehemu bibi yangu Mungu ailaze roho yake pema peponi!....
 
hichi ndicho kilimo chenye tija.....no magugu....no wadudu....kilimo chepesi....faida kubwa....
 
Back
Top Bottom