Umelazimishwa

Halafu wanaodili na hizi business wanakuwaga marasta..agenda zao zinakuwaga zaidi ya hiyo biashara,.si unajua maras wanavyojitegaga kwa wazungu!!!!
 
548066_10151200741390568_635999023_n.jpg
 

Maisha bora kwa kila mtanzania!!! Hata mashine ya diesel ya kusaga hayo makopa ya mhogo hakuna!!! Bado malazi tembe grass-roofed!!!! Mavazi usiombe!!! Hivi yale mahitaji matatu muhimu kwa binadamu, malazi, chakula na mavazi kwa miaka 50 iliyopita hatujaweza kuyafikia? Sasa serikali failure kiasi hicho inahitajika tena? Let us fight for a change, you and me!!
 
tatizo wanapewa rushwa ya vitumbua,tshirt,kanga au buku 5 wanaipa ccm kura
 
naona Mtasha somo limemuingia hadi kilio...nguvu ya love hiyo
 
Utamaduni wa watu huo, kwetu wanasema hawataki harufu ya diesel kwenye mchele
 
aisee we beberu mbona post zako zinakera, unasema umeweka picha lakini kila post unayoweka wewe picha hazionekani.....
 
We will discover the happiest moments ever, only when we learn to love like children. This is the GOLDEN RULE.
 
aisee we beberu mbona post zako zinakera, unasema umeweka picha lakini kila post unayoweka wewe picha hazionekani.....

Ubungoubungo


Run Internet Explorer in No Add-on mode and tell me your results.

Internet Explorer (No Add-ons)
Click Start -> Click All Programs -> Click Accessories -> Click System Tools -> ClickInternet Explorer (No Add-ons), run this version and see if the issue is resolved. If it is then an add-on might be at cause, remove or disable any add-ons one at a time until you find out which one it is.

Also test running your browser in compatibility view.

Internet Explorer Compatibility view:
Why are some webpages blank or incorrectly displayed in Internet Explorer?
 
Back
Top Bottom