Matokeo hutangazwa na vyombo vya habari yakishahesabiwa, kwani kila kitu kinakuwa wazi na mawakala wako kila kituo wanahesabu na kutuma matokeao kwenye center zao za kuhesabia kura.Mbona sijaona tume ya uchaguzi ya Marekani ikitangaza matokeo? Mwenyekiti wa hiyo tume ni nani? Naona matokeo yakitangazwa na CNN, Fox News, etc.