Umefikia wapi mchakato uanzishwaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Uyole?

Lukataluko

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,345
1,572
Habari za majukumu wakuu,

Naomba kuuliza ule mchakato uliokuwa umeanzishwa mwaka 2021 wa uanzishwaji wa halmashauri mpya ya Uyole, uliishia kwenye hatua ipi?

Kwa mwenye details zozote hapa jukwaani anijuze tafadhari.
 
Nadhani mamlaka husika zingeulizwa maana humu kuna wengine hawajui kama hiyo Uyole ni eneo la Tanzania
 
Back
Top Bottom