UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

SAMITI a.k.a mpigamsuli kachukuliwa MUCCOBs anaenda chukua Bachelor of finance ……………

mbona sioni ushirikiano wake?? yani rural development(SUA) to finance(MUCCoBZ)! kweli dunia ni mviringo
 
Nimechaguliwa ba markerting and enterprenyuaship muccobs mliochaguliwa huko muccobs m ni pm
 
Msishangilie sana % kubwa ya selection zote zimekosewa hii CAS bado kizunguzungu usishangae kesho ukakuta kitu kipya
 
Msishangilie sana % kubwa ya selection zote zimekosewa hii CAS bado kizunguzungu usishangae kesho ukakuta kitu kipya

Yap this is true, I hope they will correct the mistakes
 
barchelor of science in physics. Hv kwa anaye jua hii coz unakuwa mwalimu hakuna other alternative maana nimechaguliwa bila kuiomba ila nikushukuru kwa yote
 
barchelor of science in physics. Hv kwa anaye jua hii coz unakuwa mwalimu hakuna other alternative maana nimechaguliwa bila kuiomba ila nikushukuru kwa yote

Hiyo kitu iko bomba mkuu sio lazima uwe ticha, ka vipi ukifika badirisha.
 
Back
Top Bottom