Pdraze
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 615
- 322
Kuna mdogo wangu anasoma hiyo shule kanipigia sim akidai shule imefungwa na wameambiwa wataitwa bila mda maalum kutajwa na sababu ikiwa ni mvutano wa kidini kati ya wakristu na waislam! Kwa wale wenye taarifa zaidi tujulishen maana ni hatari kwa Taifa letu!