Umahiri (isomeke Ujinga) wa wapiga picha wetu

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
kikwete-waathirika.jpg

adolf_hitler.jpg

Yet kuna mtu Ikulu anajiita ofisa wa habari wa Ikulu
 
Attachments

  • Tembelaeawaathirika(2).jpg
    Tembelaeawaathirika(2).jpg
    17 KB · Views: 132
  • adolf_hitler.jpg
    adolf_hitler.jpg
    25.9 KB · Views: 105
sawa wandugu, silazimishi kitu hapa lakini ukiwa mpiga picha unatakiwa kuwa makini na picha unazoweka online zisifanane na zile za ajabu na baadhi ya watu wakatumia huo uajabu kuanza kumuita kiongozi wetu fuhrer kutokana na kufanana huko. Just opinion.
 
wakati fulani huwa nasema tusiziamini sana picha. Hatujui hapo kama ndio alikuwa anashusha mkono au la. Ila hakuna uhusiano hapo
 
Ingawa naelewa umuhimu wa mtoa picha na habari wa Ikulu kuedit kinachotoka mfano hata kama ni kwa bahati mbaya mkuu kanyanyua kidole cha Kati juu, picha hiyo haiwezi kutolewa, ukosefu wa ueledi katika kufanya kazi ni tatizo linaloigusa pia tasnia ya habari kwa kiasi kikubwa.

Wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika pale uwanja wa taifa, sauti za wapiga soga na matusi zilirushwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.

Nilishangazwa pia na namna Bw Michuzi alivyojiegesha katika jukwaa kuu Kama Mgeni mwalikwa (ikumbukwe hii ilikuwa ni siku chache tu baada ya taarifa kwamba anakaimu upigaji picha wa Raisi,Ikulu.) Nilijiuliza hivi Yuko pale kupiga au kupigwa picha?hii ni mifano michache Kati ya mingi ya matukio yanayoonyesha ukosefu wa UELEDI.

Picha ya Raisi kufananishwa na salute ya Hitler kwa mtazamo wangu Haina tatizo kwani jamii YETU haina mtazamo huo na wala hatuijui hiyo saluti
 
Mimi sijaelewa kitu....kuna mtu anaweza kutueleza vizuri "issue" iliyopo kwenye hizo picha mbili? Hiyo ya jk ni kama vile wanaoneshana kitu fulani kilicho mbali.
 
nadhani muonekano wa mlengwa kwenye picha ndicho anachoongelea huyu mleta mada..
 
hapo nadhani mkuu alikuwa anashusha mkono baada ya kuwapungia watu waliokuwa upande wa pili na bahati mbaya mpiga picha naye hakujua kuwa kafanya timing mbovu.

by the way hiyo saluti inachukiwa zaidi na israel ambao kiongozi wao Ehud Barak ametudhalilisha hivi karibuni hivyo kwangu ni poa tu maana hao jamaa ni washenzi sana.
 
Ingawa naelewa umuhimu wa mtoa picha na habari wa Ikulu kuedit kinachotoka mfano hata kama ni kwa bahati mbaya mkuu kanyanyua kidole cha Kati juu, picha hiyo haiwezi kutolewa, ukosefu wa ueledi katika kufanya kazi ni tatizo linaloigusa pia tasnia ya habari kwa kiasi kikubwa.

Wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika pale uwanja wa taifa, sauti za wapiga soga na matusi zilirushwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.

Nilishangazwa pia na namna Bw Michuzi alivyojiegesha katika jukwaa kuu Kama Mgeni mwalikwa (ikumbukwe hii ilikuwa ni siku chache tu baada ya taarifa kwamba anakaimu upigaji picha wa Raisi,Ikulu.) Nilijiuliza hivi Yuko pale kupiga au kupigwa picha?hii ni mifano michache Kati ya mingi ya matukio yanayoonyesha ukosefu wa UELEDI.

Picha ya Raisi kufananishwa na salute ya Hitler kwa mtazamo wangu Haina tatizo kwani jamii YETU haina mtazamo huo na wala hatuijui hiyo saluti

Nakushukuru kwa kuelewa mkuu.Hili ndio tatizo la kuwapa watu kazi kutokana na urafiki na si uwezo.
 
Msidhani mpigwa picha hajui maana ya hizo hand signs, kama unajua diffeent types za hand shake utagundua kuwa huwa anajaribu kuzipractice kwa watu mbalimbali; mf, hupendelea kutoa "cold fish" kwa viongozi wa opposition in Tz, hutoa "double handler au upperhand grip" kwa akina obama. Kama umewahi kusoma kitabu cha "body languages utaweza kuona namna anavyojaribu kuzicheza.
Mtu mwenye akili zake atajua tofauti kati ya hizi picha.
 
Back
Top Bottom