Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

Mkuu moto unawaka soon.
Ndo maana Mabeyo amerudisha kambini kwani Mzee wa Geita Mpooo anarudi.
Na Mbowe kaachiwa mapema ili mavuguvugu yasiwe mawili kwa hiyo ukichanganya Machina,Mfumuko wa Bei na swala la Ajira yaani hali sio nzuri kwetu Ccm ni Mwenyenzi Mungu atuvushe salama
 
Endelea kumeza mbaazi ili maisha yasonge
Na ww endelea kuuza utu wako, kwa sababu ya njaa yako. Naona baada ya boss wenu kuachiwa sasa mnajipanga ili mje tena kivingine.

images.png
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.

View attachment 2141949
Hakuna aliyeteswa na mkoloni akidai uhuru na mkoloni hakumfunga mtu yeyote kwa kudai uhuru na alipoondoka magereza yetu hayakuwa na mfungwa wa kisiasa.
 
Usigeuze Mawazo Yako Kuwa Ya Wengine.

Sio kila mtu anawaza mnavyowaza nyinyi wana Chadema.

Tuna vyama vingi vya Siasa nchini na kila mtu ana Opinion yake.
Huyo ni taga mwenzako, anapiga propaganda tu, kwa hiyo usiogope!
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.

View attachment 2141949
Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
 
Cjui aloroga chadema ni nani. !!! Mimi sio wanasiasa lakini kuwasikiliza vijana wa chadema na viongozi wao unaona upuuzi ulio wa wazi kabisa.
Hata kama Ccm inafanya vibaya katika mambo fulani lakini ubaya Ccm.ni bora mara1000 kuliko uzuri wa chadema.
Mbaya alike Ccm ni nabii kujiunga chadema.
Wamemnadi Lowasa /Sumaye law mafisadi, walipojiunga chadema wakapewa wagombee uraisi kabisa ili sijui wakafanye nini wangefika ikulu!!!
 
eti huna chama yaani umshabikie Babu Tale, Lusinde, makonda, Chongoro,Sabaya, Ndugai ndo vichwa vya CCM
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.

View attachment 2141949
Mbowe hana umaarufu wowote ni gaidi tu hatabkjasma kalamba miguu ya pilato na kurudi uraiani kuhatarisha Taifa, atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea??
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.

View attachment 2141949
Haki inayopiganiwa zaidi ya siasa, Hata kwa mtazamo wako wa kawaida unaona kama kuna chama chenye mustakabali na wananchi? Au ni wanafanya yale yale, sio watawala sio wapinzani.
 
Back
Top Bottom