Hold on
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 455
- 1,026
sisalimii leo
Huyu kijana anajulika sana mwazo watu hawakuwa wanamuelewa sasa baada ya kumaliza chuo pale UDSM ndipo akapata mpenyo wa kujulikana mwazoni watu walikuwa hawamuelewei kabisa
Lakini baada ya kuwa maarufu fursa zikawa zinakuja kwa wingi sana ndipo akapata nafasi ya kuwa mtangazaji kwenye kituo kimoja cha redio na TV kidogo kidogo akaaza kupa na ndege safari za nje hatimae akawa maarufu zaidi watu wakamuelewa baadhi yao
Pole pole akaaza jipendekeza kwa wakubwa sasa juzi kati hapa akaingia kwenye ugomvi na mdada mmoja hapa bongo ambaye anatikisa sana kwa sasa na ni mrembo akawa anamtukana mtandaoni hakujua kuwa yule dada anajua siri zake sasa baada ya kumtukana huyu dada hakaona isiwe kesi ngoja nimkumbushe atambue mipaka yake
Kweli alipo mkumbusha alikausha akatulia kimya kumbe nyuma ya panzia anauza masege hapa bongo tena anauza na tajiri mmoja hapa bongo sasa mke wake hajui ilo na kucha anajifanya mtakatifu sana kumbe zile sms akimsifia huyo tajiri zilifuja na zipo juju kwa juju wamesema tumsitili huyu kijana ila akiendelea na uzwazwa wake tuta mnyoosha
Huyu wakati anaingia kwenye kiwanda cha umaarufu alikuwa patient tamaa zake zime mpoza sana na sasaivi masege yana hesabika na ata picha zake sikuizi watu washa haza zi diss anauza masege kwa kutaka apate pesa pesa anazo pata hazimtoshi
Vijana tufanye kazi hakuna cha bure bure
Na ukiwa maarafu fwata malezi ulio kulia achana na watu au marafiki wa ovyo kuna watu wanatumia umaarufu wao vibaya ni ilo tu
NB: UKIMJUA KAUSHA USIMTAJE MTU JINA