Ulitumaini uzuri wako

SHANGINGI

Member
Aug 10, 2011
14
2
Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba.... kila kijana aliyepita ulimwona anafaa
awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda.....weweeee


wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda ......wako waapi ma handsome mbona sasa unakonda.......



hebu sasa piga kelele ulie kahaba....shika kinubi omboleza upate kukumbukwa................nirudieni mimi...nasamehe nasema geukeni sasa niwaponye
:horn:
 
Unampigia debe Rose Mhando?Naona ume'copy' na ku'paste' mashairi yake!
 
duh kweli wewe shangingi.....yaani ujumbe wako na hilo jina mmmh kama vile ni ile topic aliyoanzisha THE BOSS kuhusu majina ya JF members. Huo ujumbe mbona mzito sana, maneno ya Methali kwenye Bible na vikorombwezo vikaongezwa na dada Rose wa Muhando kama sikosei. Thanks
 
shangingi nimeokoka sasa natoa maujumbe tu na nyinyi muokoke!msitishike na ID wapendwa! jamani acheni umalaya ndo ujumbe wangu..............news alert ndo hiyo, na wanaume nao tutawaimbiaje?..........ulitumaini fedha zako ukafanya umalaya....kila msichana aliyepita ulimwona anafaa..........................................................................................................................................endeleaaaaaaaaaa mbarikiwe wote
 
nampenda sana rozi mhando,kila album hakosi kuwaimbia makahaba wageuke waache njia zao mbaya!
 
Ni moja ya ujumbe mzito huo. Manake uzuri, uzima tulionao unatupa kiburi tu, tunazini, tunalewa tupendavyo, lakini, tungekuwa 2melala vitandani kwa magonjwa tungefanya haya mambo kweli. Mungu turehemu tu.
 
Back
Top Bottom