Ulisherehekeaje pasaka yako jana?

Habari ya Easter monday?

Kama mmeamka salama ni furaha kwangu, tujuzane tu namna tulivyosherehekea siku ya jana maana sikukuu huwa haziishi matukio ya kuacha midomo wazi
.
Wengine tuliachwa SOLEMBA.
Source: Katavi
 
Asa ww umechelewa coz pasaka ishaisha labda uiweke 4future use xmass au mwaka mpya lol!
Hahahaaaa kuna sikukuu kibao tu zaja, kuna Eid El Fitr na El Hadhr kabla ya zile za anniversary so kuna sehemu kibao tu ya kuitumia hiyo
 
Nılıangalıa mechı home!kakaja ademu kangu ka zamanı nıkazıba,kakasepa then nıkaelekea mbagala dar lıve kula bata!huko nako nıkakuta kuku za kıenyejı za ukwelı nıkaımbısha moja!ndo ımetoka muda huu home!nımeıtoa na wekundu wawılı
 
Dah sa hapo umefanya nini mkuu, si bora ungeruka na hako ka demu ka zamani kuliko hako ka kuku ulikokabeba huko Dar Live? Kwa formula kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Habari ya Easter monday?

Kama mmeamka salama ni furaha kwangu, tujuzane tu namna tulivyosherehekea siku ya jana maana sikukuu huwa haziishi matukio ya kuacha midomo wazi

mh! wewe si ndio ulisherehekea pasaka kwa kujaribu kuuvunjavunja moyo wa mtu fulani?! angalia waweza kuwa unajaribu kuvunja nondo kwa kutumia vidole!
 
Ile ilianza kabla ya pasaka so jana haikuwa ndio inaanza ilikuwa kwenye pipeline tayari...........Ukiona vidole haviwezi unatafuta msumeno
 
unaweza dhani ni just ki-nondo kumbe chuma cha reli!!
 
Hahahaaaa kuna sikukuu kibao tu zaja, kuna Eid El Fitr na El Hadhr kabla ya zile za anniversary so kuna sehemu kibao tu ya kuitumia hiyo

Km huna uzoefu dont try it at home!unaweza chemsha ukajutia lol!ucntaje!
 
Back
Top Bottom