Ulisherehekeaje pasaka yako jana?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Habari ya Easter monday?

Kama mmeamka salama ni furaha kwangu, tujuzane tu namna tulivyosherehekea siku ya jana maana sikukuu huwa haziishi matukio ya kuacha midomo wazi
 
Kama wewe ni mtu wa matukio ya kuacha mdomo wazi maisha yako tu hata kama sio sikukuu inakuwa hivyo tu. Kama ni mtu wa amani bila matukio unakuwa unajua ukae wapi na nani ili uwe na furaha na amani.

Pasaka yangu ni nzuri, ya amani. Kristo amefufua kila kilichokuwa mfu maishani mwangu. Pasaka yako inakaaje Musimo?
 
Well mi nipo mbali na familia yangu mbali na my wife to be so jana nimekesha bar kwenye live band mpaka saa tisa usiku.kuna kamalaya kalikuwa kamekaa na mimi meza mmoja kakasepa na kuniachia bili yake ya bia tatu,stupid *****
 
Mh thats interesting, mi yangu ilianzia kanisani asubuhi nikaimba haleluya kuu nikapaa mbinguni nimerudi mchana duniani kula pilau then nikawatch moviez na siku ikaisha
 
Well mi nipo mbali na familia yangu mbali na my wife to be so jana nimekesha bar kwenye live band mpaka saa tisa usiku.kuna kamalaya kalikuwa kamekaa na mimi meza mmoja kakasepa na kuniachia bili yake ya bia tatu,stupid *****
Hahahahahaaaa mkuu ulizima nini?
 
Kuna nusu kuku hapa nilidhan jana hawakunifungia kumbe nilirudi naye ngoja nimtafune kwanza i will be back hope mpaka hapo unapata picha pasaka yangu ilikuaje!
 
shem...ulikua bwax kiasi hicho?...hap ista anyways!...
 
...namshukuru Mungu ilikua safi...nilikaa na ndugu zangu mahali...tukaongea mambo mengi ya kimaisha huku tukikata mti na kupanda mwingine!...responsibly!
 
Kuna nusu kuku hapa nilidhan jana hawakunifungia kumbe nilirudi naye ngoja nimtafune kwanza i will be back hope mpaka hapo unapata picha pasaka yangu ilikuaje!
Hahahahahaaa yaani amini usiamini nimeshatengeneza movie kamili kutokana na kichwa cha habari hapo juu, dah natamani star wake angekuwa Kanumba
 
Hivi ule mfungo wa kulewa nilidhani unaisha leo? Ntamuambia dingi,ohoo!

Kama kweli ilikuwa RESPONSIBLY thats gud mkuu
 
Hahahahahaaa yaani amini usiamini nimeshatengeneza movie kamili kutokana na kichwa cha habari hapo juu, dah natamani star wake angekuwa Kanumba

Dah!yani nataman nisikumbuke huu msiba maana jana clouds walipiga ule wimbo wake nikajikuta nalia upya!BTW pasaka yangu ilikua fresh ila wale wakaka wauzaji wa kuku walikua wanajidai wako bize nikahic watanichakachulia kuku wangu kumbe walinifungia ndio nammalizia!
 
Hivi ule mfungo wa kulewa nilidhani unaisha leo? Ntamuambia dingi,ohoo!

Hahaha!sister bana,yan wala ucmwambie mdingi maana utamtoa kwenye mudi kbs kwan hajaonekana hm tangu ijumaa sasa hapo nadhan ngoma itakua droo!
 
Mtafuteni asije kuwa kwa kale kabinti kakamchakachua asee
 
Back
Top Bottom