Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,115
- 1,300
SIKU nikioa naombea mke wangu awe kama wako...una mke mwenye akili sanaNi stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu.
Mchepuko nnae mzungumzia. Ni binti flan ivi mrembo hapa mtaani, anaishi nyumba Kama ya 3 kutoka nnapoishi na familia yangu. Pia mwajiriwa ktk mojawapo ya makampuni Aya ya Marehemu mzee Mengi.