ulinzi kamili

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1043893_327645324034802_1204633091_n.jpg
 
Yake ma-BMW ya mzee mkubwa vipi,hayana ulinzi kama huu kweli?
 
...nasikia tairi likitaka kuchomoka kuna taa zinawaka kama nusu saa hivi
 
Ulinzi wote huu ni dalili kuwa huyu jamaa ana madui wengi sana duniani. Tujiulize kama ni kweli ana maadui wengi, KWA NINI ANA MAADUI WENGI!?????????????????????????????????
Huyu jamaa na nchi yake dunia nzima ni maadui zake si umesikia masuala ya udukuzi
 
Back
Top Bottom