Elections 2010 Ulimi wamponza Yusuf Makamba

Wakati mwingine huwa siamini kama January na Mwamvita ni watoto wa huyu mzee mropokaji!!

Naamini maneno anayoyatamka mara nyingi hayafai hata kutamkwa na balozi wa nyumba 10 wa CCM. Its a disgrace to his party, his Chairman na watanzania wote kwa kuwa na mzee wa jinsi hii.

Nakumbuka kusoma kwenye blog ya January maandishi yafuatayo..."wakati mwingine ni bahati mbaya sana unajikuta unarithi maadui wa baba yako....watu wanakuangalia na kukuona kama mtu wa aina ya baba yako....." Hii statement to me inamaana kwamba January anajua fika mapungufu ya baba yake lakini ndo hivyo tena huwezi kuchagua baba wa kukuzaa!!

Chief--
That is below the belt. Watoto wa watu wewe unawatakia nini? You are pretty much saying that Mwamvita, January and the rest of Makambas should be ashamed of their father? Maybe your father should be ashamed of u for insinuating things like this Uko wapi uungwana jamani? Kama una beef na "mropokaji" Makamba, basi we mtukane yeye mwenyewe na CCM yake. But invoking his children in a way you did--tell us a lot about your morals than mropokaji Makamba.

And worst of it all, is you are saying these things like you know the truth. Like, umeona jinsi Mzee Makamba alivyowalea wanae mpaka kufika hapo walipo leo (successful on their own merits). You don't know the sacrifices he has taken for his children. You don't know none of that. Halafu leo unachonga kwenye Jambo Forum kwamba they should be ashamed of their parents. Chief, you know better than that!
 
naona darwinism inagoma kwa huyu mzee, IWEJE AANZE KUZEEKA ULIMI BADALA YA MWILI.
 
Dr. W. Slaa umepata line nyingine ya kuwaeleza wananchi kuwa CCM hawataki mdahalo kwa sababu watu masikini nao watakuja na njaa zao kuanza kuuliza maswali.

Wagombea ubunge na udiwani wote chukueni line hiyo na muipeleke kwa wananchi cos wengi sisi ni masikini pamoja na familia zetu na ndugu zetu!!

Hii kauli inanikumbusha Gordon Brown alipomwita yule mama 'a bigot', mbona ilikula kwake pamoja na kuapologize.
 
wHEN IT COMES TO SERIOUS MATTERS KAMA za ku'address kwa wananchi Makamba hatakiwi kusogeza pua yake huko, maana hana uwezo wa kutathmini aftermath za kauli zake!...he is known for talking off-points and unnecessary comments!
Ukubwa wa umri si busara ati!, na atawagharimu sana yule babu..but at our advantage!

Hehehehe kaka usicheze na Makamba, yeye ni mtu mkubwa bwana, alikuwa mwalimu mkuu wa upe na amesoma sana mpaka FORM TWO, sasa elimu kubwa aliyonayo ndiyo inayomsumbua na wala siyo kosa lake.
 
Chief--
That is below the belt. Watoto wa watu wewe unawatakia nini? You are pretty much saying that Mwamvita, January and the rest of Makambas should be ashamed of their father? Maybe your father should be ashamed of u for insinuating things like this Uko wapi uungwana jamani? Kama una beef na "mropokaji" Makamba, basi we mtukane yeye mwenyewe na CCM yake. But invoking his children in a way you did--tell us a lot about your morals than mropokaji Makamba.

And worst of it all, is you are saying these things like you know the truth. Like, umeona jinsi Mzee Makamba alivyowalea wanae mpaka kufika hapo walipo leo (successful on their own merits). You don't know the sacrifices he has taken for his children. You don't know none of that. Halafu leo unachonga kwenye Jambo Forum kwamba they should be ashamed of their parents. Chief, you know better than that!

Nahisi kaka Selemani umetanguliza jazba zaidi kuliko ulivyomwelewa BROOKLYN. Hebu jaribu kutulia na usome tena maneno yake kwa umakini kabla hujaamua kumshambulia hivyo, nahisi kama umeongeza chumvi zaidi. Haja hivyo kujitoa kafara kwaajili ya watoto ni jukumu la kila mzazi.
 
Chief--
That is below the belt. Watoto wa watu wewe unawatakia nini? You are pretty much saying that Mwamvita, January and the rest of Makambas should be ashamed of their father? Maybe your father should be ashamed of u for insinuating things like this Uko wapi uungwana jamani? Kama una beef na "mropokaji" Makamba, basi we mtukane yeye mwenyewe na CCM yake. But invoking his children in a way you did--tell us a lot about your morals than mropokaji Makamba.

And worst of it all, is you are saying these things like you know the truth. Like, umeona jinsi Mzee Makamba alivyowalea wanae mpaka kufika hapo walipo leo (successful on their own merits). You don't know the sacrifices he has taken for his children. You don't know none of that. Halafu leo unachonga kwenye Jambo Forum kwamba they should be ashamed of their parents. Chief, you know better than that!
Ulichoongea kinaweza kuonekana kina busara sana mtu asipokuwa makini, hujaandika kitu chochote kuhusu kashfa ya mzee Makamba kwa wananchi masikini lakini umeweza kucomment ubaya wa mtu kumsema mzee Makamba. Tafsiri yangu ni kuwa kwa sababu hujawa balanced basi you are ok na statement ya Makamba kwa masikini lakini you are not ok Makamba na familia yake wanaposemwa namna ambayo wewe hupendezewi.
 
That was exactly my point. Yeah, Makamba karopoka, kasema vibaya watu wa Kariakoo. And everybody has every right kumkandia.I agree with everybody on that one. Lakini kusema kwamba "Wakati mwingine huwa siamini kama January na Mwamvita ni watoto wa huyu mzee mropokaji" is not fair kwa Mzee ambaye amelea watoto wake mpaka wafike hapo walipo. Na ni kuwakosea watoto wa watu. There should be a different between Makamba mwanasiasa na Makamba as a parent. And kwa watu humu ndani not to be able to differentiate the two, is disappointing.
 
Can someone post ALL the nice QUOTES of Mr. Makamba please!!
Then we will pick the best ones and write a YUSUF MAKAMBA QUOTE BOOK.
He will surelly love that,..
 
Mnatarajia miujiza gani kutoka kwa mtu aliyefukuzwa kazi ya Ualimu kwa ukosefu wa maadili.....?
 
Yusufu Makamba ni kikaragosi fulani hivi dumavu, ambacho hakina elimu wala hekima, kilichojaa kelele nyingi na kujipendekeza kwa wakubwa tu. Ni kielelezo halisi kwa nini nchi yetu haiendelei, kwa sababu unawezaje kukitegemea kijitu cha kuendekeza mambo ya mpito kama KiMakamba kiweze kufanya kazi za sera katika chama cha kweli?

Hapa tuna double whammy, mwenyekiti wa CCM Kikwete dummy, huyo Makamba an even bigger dummy, basi balaa tupu.
 
Sidhani kama ni sawa kusema ulimi wake Makamba ndio unamponza, nafikiri ni sahihi zaidi kusema yeye Makamba ndiye hasa anayeuponza ulimi wake. Makamba hata asipofungua mdomo wake ni rahisi kuhisi atakalolifanya na huko kupayuka kwake kunamsaidia kwa kupunguza makali ya matendo yake kuonekana ya kipuuzi. Mtu kama Kikwete anapata sana ahueni anapokuwa amezungukwa na watu aina ya Makamba kwani anapata kaujasiri ka kutozingatia sheria na uwajibikaji. Kiwete anamhitaji Makamba kwa jinsi ile ile Makamba anavyomhitaji yeye - they really, really need each other !
 
.
Kiwango cha kukariri na kuweza kunukuu mistari ya biblia na furukani bila uelewa wa maana yake.

Biblia ni kitabu kigumu sana kukielewa kwa sababu kimeandikwa in parrables. Ndio maana kunanahitajika busara za ziada, wengine wanaitwa macho ya rohoni kuweza kujua maana halisi ya mistari iliyopo kwenye biblia. Huwa siku zote namshangaa mzee Makamba kunukuu mistari ya biblia, na kuitolea ufafanuzi. Is not that simple mzee Makamba, na ingekuwa simple hivyo kusingekuwepo na haja ya shule za theologia.

Kwa matendo ya mzee Makamba, si rahisi kuweza kuyapata hayo macho ya rohoni kung'amua maana iliyokusdiwa katika mistari ya bibilia anayoikariri kila kukicha. Kuwatetea mafisadi kwa kunukuu visivyo mistari ya bibilia ni DHAMBI. Nawashangaa viongozi wa dini za kikristu wanamuacha tu kutoa tasfiri mbovu na zisizo sahihi kila afunguapo domo lake.

Kuna wakati kweli watu walikuwa wanasisimka wakimsikia Makamba akinukuu hiyo mistari ya bibilia, lakini hivi sasa mzee huyu kapoteza dira, hana maana, hata anayosema yamepoteza ukweli na hayana maana, na hata tafsiri zake zimepoteza mwelekeo na weledi, zinaonekana kama dhihaki kwa kitabu hicho kitakatifu. Mzee Makamba, nakushauri utafute lineS zingine, hizi za kunukuu mistari ya bibilia kila unapoongea utumbo, zimechuja sana. Hata juzi juzi uliyokuwa unampokea chamani yule jasusi na tapeli wa CCJ aliyejiunga na CCM ulinukuu mstari wa biblia, hell no, huko ni kuwakosea wakristu wanaoiamini bibilia kama kitabu kitakatifu.
 
Na nyie wa-kariakoo, endeleeni kuichagua sisiem, labda muwape miaka mingine mitano mkitumaini wataimaliza hiyo njaa mliyo nayo. Poleni sana. Ndivyo sisi wananchi wa kawaida tunavyoonekana kwa viongozi wetu. Njaa ttttttupu:confused2:!
 
Biblia ni kitabu kigumu sana kukielewa kwa sababu kimeandikwa in parrables. Ndio maana kunanahitajika busara za ziada, wengine wanaitwa macho ya rohoni kuweza kujua maana halisi ya mistari iliyopo kwenye biblia. Huwa siku zote namshangaa mzee Makamba kunukuu mistari ya biblia, na kuitolea ufafanuzi. Is not that simple mzee Makamba, na ingekuwa simple hivyo kusingekuwepo na haja ya shule za theologia.

Kwa matendo ya mzee Makamba, si rahisi kuweza kuyapata hayo macho ya rohoni kung'amua maana iliyokusdiwa katika mistari ya bibilia anayoikariri kila kukicha. Kuwatetea mafisadi kwa kunukuu visivyo mistari ya bibilia ni DHAMBI. Nawashangaa viongozi wa dini za kikristu wanamuacha tu kutoa tasfiri mbovu na zisizo sahihi kila afunguapo domo lake.

Kuna wakati kweli watu walikuwa wanasisimka wakimsikia Makamba akinukuu hiyo mistari ya bibilia, lakini hivi sasa mzee huyu kapoteza dira, hana maana, hata anayosema yamepoteza ukweli na hayana maana, na hata tafsiri zake zimepoteza mwelekeo na weledi, zinaonekana kama dhihaki kwa kitabu hicho kitakatifu. Mzee Makamba, nakushauri utafute lineS zingine, hizi za kunukuu mistari ya bibilia kila unapoongea utumbo, zimechuja sana. Hata juzi juzi uliyokuwa unampokea chamani yule jasusi na tapeli wa CCJ aliyejiunga na CCM ulinukuu mstari wa biblia, hell no, huko ni kuwakosea wakristu wanaoiamini bibilia kama kitabu kitakatifu.

Mimi nilipo mshangaa huyu jamaa wa CCJ aliposema kuwa upinzani hauna dira na ni wababaishaji.Swali je yeye si alikuwa mwenyekiti wa CCJ sasa analaumu nani ,nilivunjika moyo sana kuhusu nchi yangu jinsi watu tusivyo responsible yaani tunatafuta mtu wa kumlaumu mpaka kwa makosa yetu wenyewe ,kwa kushindwa kwetu kuwajibika.

Kuhusu Makamba ni hatari huyu jamaa ,Kama january naye ndio atarithi hiyo tabia I feel pitty for him.
 
Back
Top Bottom