Mkuu,Jamani simtetei hasheem but kama umeishi usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na kwenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni tafaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,
Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
Huyu Hashim Thabit ndio nani?
Ujinga ni kwenda Marekani miezi 3 kurudi unaongea "whaatss mameen", You know i'm sayin', Aiyt, Holla"....wakati ukienda India 4 years unarudi na kiswazi kile kile. wala huna "Vee arrr doing werry Vell MY friend"