Ulimbukeni wa akina Hasheem Thabit

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.

Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?

Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.

Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.

Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
 
Ulichokiandika hapa umekiwaza kwa muda gani kabla ya ku-post?
 
Ukiona wako kimya ujue 3/4 ya watu humu wako hivyo na viongozi wetu pia pamoja na hao tunaowategemea au kujidanganya kwamba wanataka kuleta mabadiliko TZ kama Tundu Lisu anaongea kiingereza bungeni, sasa swali dogo ni kwamba hao waliomchagua au anaodai kuwatetea wanaelewa anasema nini? na kama jibu ni hapana Je anamlenga nani?
 
Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.

Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?

Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.

Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.

Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??
 
Kuna ukweli fulani katika hili, Watanzania akikaa muda mfupi tu nje ya nchi anasahau Kiswahili hata kama ameitumia kuanzia chekechea mpaka shule ya Upili kama lugha ya mwasiliano. Kama mtu anaweza kusahau Kiswahili kwa muda wa miaka mitano, vipi kuhusu Kimakonde ?
 
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??

hakuna mtu anae weza sahau lugha ya kuzaliwa iyo ni pozy 2 wako wengi aswa mawazili wetu utona wakati anaongea neno la kiswili lakini amesahau aongeew nini pale utasikia anvuta neno ati eeeeeee........Wisho meza yana leo hajui meza kwa kiswahili,????? Kweli??
 
Jamani simtetei hasheem but kama umeishi usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na kwenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni tafaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,

Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
 
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??

Hata kama ni Superstar, Supermoon, Supersun, Superplanet sio hivyo !!! Kwa muda wa miaka kumi usahau lugha uliyotumia kuanzia ukiwa tumboni kwa Mama yako, Chekechea mpaka shule ya Upili. Watu tumekaa nje kwa miaka 15 lakini ukirudi nyumbani Kimakonde na Kiswahili ni kama maji.
 
Jamani simtetei hasheem but kama usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na wenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni taofaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,

Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
Hata kama anakijua Kiswahili cha nini kinafaida gani wapi ulishawahi kusikia kiswahili ni kigezo kupata kazi??Kwanza Hashm jamaa yupo juu kwanza anachokiongea kinatosha hata mimi ningeenda madagasca nikae wiki nakuja naonge kifaransa kiswahili sitaki!!!!Kiswahi ni mali ya CCM ndo wamekikumbatia mpaka leo wageni wanatupola kazi nzuri kwakuwa hatukusoma vizuri kwakuwa masomo mengi ya sekondary yanafundishwa kwa lugha ya kiingereza ambacho viongozi wa CCM waliiogopa hiyo lugha wakiamini kiingereza ni kwa ajili ya Nyerere shit.....!!!
 
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??

Hebu tulia kidogo, unajua hapa JF ni sehemu ya kuonyesha kupevuka kwako ki-akili. Nadhani wewe bado hujajinasua na tatizo la elimu, ndo maana unadhani kiltu celebrity maana yake ni kiingereza.

Ktk waafrika waliofanikiwa sana kuliko hata ndugu yetu Hashim ni Dikembe Mutombo. Na hakika Hashim hatafikia kiwango cha Kongo huyu. Unamfahamu? hebu google umfahamu. Sasa ingia youtube umusikie anavyoongea na kutokana na hilo pia utaweza kupima ufahamu wake. Ni mkubwa na hutamsikia akijiingiza ktk ulimbukeni kama huu.

Mimi usiwe na mashaka na mimi. ulimi wangu unazikaanga lungha zaidi ya 3 za kigeni lakini siyo sifa ya kuniondolea Kiswahili changu. Tena mbele ya TV!

Hiyo ni ishara ya elimu haba.

Lakini pia kumbe naona wewe pia unaamini umaarufu ni kusahau Kiswahili.
 
Wewe unashangaa Hashim kuna wengine wanaenda hapo kenya tu wakija wanajifanya hawajui tena kiswahili cha bongo huo ni ulimbukeni na kukosa elimu ya kutosha.

Tudumishe shule za voda fasta na walimu ili TZ iwe na mambumbu
 
Tido mhando kakaa sana uingereza lakini hajasahau kiswahili. Mabalozi wengi wamekaa sana nje lakini hawajasahau kiswahili.
 
Back
Top Bottom